Wanaoolewa ni darasa la saba na form 4


Heheheheheiiyaaaa....
 

mie kila siku babangu alikuwa ananiambia mwanangu soma usije kunyanyasika kwa wanaume.....yaan nlikuwa napiga buku ka sina akili nzuri kila nilipokuwa nikikumbuka maneno yake
 
tusali tupige magoti
 
Umeandika hii thread ukiwa umejifungia chumbani na unalia kwa kuachwa nini? Hivi bado unaishi kwenye karne gani vile? Endelea na mawazo yako mgando alafu tutakuja kukumbusha siku na hii thread yako.

Huyu kaachwa wiki hii...haina haja ya kuumiza kichwa. Tena sababu ni kuwa na kibamia plus division five ni sheeedah
 
na wanaume wanaopenda kulalamika wengi wanatabia za kike na wanaliwa kiboga ka mizoga...wanawake wasomi wanajitambue hawaendekezi ufala tena wanatunza familia bila kuteteleka

Hakuna wanawake wasio jitambua kama walio soma
 
Huyu mtu hajielewi, atakua ameshachanganywa na alikurupuka ndio wanaanza kuongea vitu kama hivyo.
Viol kunywa maji baridi.
umeona eh Bebz...!
 
Last edited by a moderator:

Mkuu, ina maana ukioa huyo la saba/F4 na mkabahatika kupata mtoto/watoto wa kike, utawasomesha hadi form 4 mwisho?
 
Waache tuwa someshe, ila wawe na heshima na busara kwa waume zao. No matter what? Elimu au kipato, nivitu tofauti linapokuja swala la mapenzi. Mukiangalia sasa hivi, with education kuja kwa kasi, ndivyo hivyo gharama za haru zimeongezeka, si ndoa za kisomi na ndivyo hivyo, taraka zimeongezeka.
 
tatizo sio kuwamiliki hawa tunawamiliki kama michepuko yetu sio kuweka ndani ni majanga hawa wajuaji sana kila kitu kushindana wanapenda haki sawa ila kodi ya meza hawahusiki anajenga kwao

Si wote banhaaa.Mwanaume kumuhudumia mwanamke ni wajibu wake vinginevyo labda uwe mariyooo ndo utalalamika mpk povu likutoke.Na pia inategemea na maelewano ndani ya nyumba kama mi siujui mshahara wako ni sh ngapi why nikuoneshe wangu?
 
Huyu kaachwa wiki hii...haina haja ya kuumiza kichwa. Tena sababu ni kuwa na kibamia plus division five ni sheeedah

heee heee unalo bibi we! bora mie mwanamke na degree yangu kuliko we mwanaume na tigo yako haina rinda..shutuuu

Tatzo shule imepita kushoto sio kosa lako poleeee


mkishindwa hoja ndio mnaanza kejeli
ha ha ha ha ha ha ha
tutaoa darasa la saba na 4m4 sio magubegube yenye degree
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…