nadhani huu ugomjwa umegawanyika.
binafsi siogopi matundu,ila uvimbe wenye matundu,lundo la wadudu kama siafu wamepandana kwa wingi toka utotoni lazima niwatie figisu za moto waungie wote.
nyuki na manyigu nimeunguza sana,nakumbuka niliishaugua fungus(nyungu nyungu)mpaka kidole kikavimba kikawa na ukijani na matobo baadhi[emoji16][emoji16],nikamwagia mafuta ya taa na majivu kisha nikatia kiberiti,siku naletewa dawa yake (spirit) nilimwagia nyingi mpaka yakawa yanatoka mapovu,nilikichukia kidole changu,kikapona.