Wanaoogopa picha hizi, (wenye TRYPOPHOBIA)

Wanaoogopa picha hizi, (wenye TRYPOPHOBIA)

kama kwel huo ni ugonjwa bas mi nnao. .make nkivitizama mwili unapata ukakasi
 
Ausee mimi naugua kabisa.....
inanichukua mpaka masaa 4 kusahau...
ww uliyebandika hizi pic...ni mpuuzi sana...
 
Pumbafu sana uliyeleta haya mapicha ya kijinga jinga.Kuharibiana siku asubuhi you hii kisa Nini.*** you
 
Daaah!! Sikujua kama ni ugonjwa huu yani sijui nimejisikiaje ghafla tu hill tatizo ninalo kabisa kabisa aaaaagh!!
 
Bora nisingefungua huu Uzi,argghhghaa!!!
Kama hiyo
a86982b1b6e937330c3245735bc530d1--horror-pie.jpeg
 
Hivi vitundu vinakuwa sehemu gani? Hapo juu nimeona mkono. Yaani mkono utoboke toboke kihivyo bado uwe hai huo mkono? Halafu umesema wanaviogopa. Akina nani wanaviogopa? Hebu iweke vizuri hiyo habari yako
 
Google fear of the holes
 
Back
Top Bottom