Wanaomhujumu Rais Magufuli hawa hapa

Wanaomhujumu Rais Magufuli hawa hapa

Umeandika mambo mengi sana, ila ukweli mana ujuwa wenyewe, wafanyabiasha ni watu wa msingi sana ktk ustaw wa maendeleo, kikubwa ni kukaa nao chin na kuona namna zuri ya kutatua tatatizo, na si kublame with nothing, but you have to find the sln of problems, not blaming, and prouding some just for personal Intrest,even you know there's weakness in the,,,,,,,,,,,,,,,,,,,?
 
Mungu wala malaika huwa hawapigi kura au twambie alipiwa na nani kuwa Rais wa JMT kama siyo kati ya wanadamu tena watanzania waliojiandikisha kupiga kura tu!!!!!!!!!.

Mkuu wangu ukiwatafakari hawa Jamaa unaweza jutia kwa nn ulizaliwa nchi yenye watu wa ajabu kama vijana wa Lumumba???wameshaona Kabisa kuwa mkulu anaboronga kila kona ila bado tu wanakomaza Shingo..mtu anajihujumu mwenyewe eti wanakuja na ngonjera za kuhujumiwa... Watu wa ajabu sana hawa..
 
Wahanga wa tetemeko la ardhi uko Kagera wamelala nje siku 3 amna msaada wowote wa serikali,ata mahema ya kujisitiri wameshindwa kuwapelekea.
Halafu mtu anakuja kusema Rais anahujumiwa?
Hali iliyoko Bukoba ni mbaya na inanipa wasiwasi kwa kweli
 
LOWASA.jpg

Mkuu io picha ina maana gani?
 
mkuu njaa ni kitu hatari, shikilia hapohapo maana umetoa mpaka namba ya simu. ngoja tukupe ukweli mchungu maana huwezi pata cheo kirahisibila kupambana hata kama ni kwa kujitoa ufahamu na kuchafua watu unaotofautiana nao kiitikadi.
Kama Nina njaaa basi mwenyekiti naye ana njaa aliyeuza chama kipindi kigumu kama kile ela kala pekeyake mpaka Leo hakuna aliyehoji ila sisi wazalendo wa kweli lazima tuhoji kwann ndo hapo utakuja na majibu mepesi kwenye masuala magumu kama haya
 
Mbona tetemeko la Kagera hujalitaja katika wahujumu,maana limeifedhesha serikali inayojali masikini wakati kwa mwezi inakusanya tirioni ila imeshindwa kutoa msaada wa takribani milioni miatatu
 
Wahanga wa tetemeko la ardhi uko Kagera wamelala nje siku 3 amna msaada wowote wa serikali,ata mahema ya kujisitiri wameshindwa kuwapelekea.
Halafu mtu anakuja kusema Rais anahujumiwa?
Serikali haiwezi kutoa misaada kienyeji kama raia wanavyojitolea!Ni lazima itoe misaada ya uhakika ya kiutu na vitu!Suala la wahanga wa bukoba sio la kuishinda serikali hii, wanafanya na watafanya kwa uhakika
 
Hili mimi nililiona tokea siku ya kwanza...rais anapaswa kuwashushia nyundo hao vibaka, bila simile
 
Walio pamoja na Magufuli ni wengi kwa idadi na wana nguvu kubwa kuliko walio kinyume na Magufuli.Wampingao hawatafanikiwa ila wataona mambo yao yakiharibika siku baada ya siku maana wanashindana na mtu ambaye mamlaka zilizomuweka si za wanadamu.
Mnajaribuuuu mwenyewe kuvaa Viatu vya H. Polepole, ila sidhani kama bado kuna nafsi ziko wazi labda aongeze wilaya.
 
Ndugu wanajamvi sisi kama wazalendo na wanaharakati ambao sote tunaipigania nchi yetu kwenda kwenye uchumi wa kati lazima tupaze sauti zetu kila Mara kupinga hujuma mbalimbali zinazofanywa na watu Fulani Fulani kuhakikisha RAIS MAGUFULI anakwama lakini kibaya zaidi hawajui hii nchi ni yetu sote na siyo MAGUFULI peke yakee.
Ndugu wanabodi hakika sasa hivi kuna mambo mengi yanayosemwa kwa RAIS wetu kuhusu utawala wake lakini kuna kitu kimejificha nyuma ya pazia ,na huu ni mtandao unaupinga utawala wa awamu ya tano au kwa lugha nyingine wanaomuhujumu RAIS magufuli na hapa wapo watu wa makundi mbali mbali na taasisi mbali ila ngojea nianze kuyachambua kama ifuatavyo;

1: Wafanya biashara ambao walikuwa hawalipikodi;hawa wameunda mtandao wao kwa usiri Mkubwa mno ili kuhakikisha kwa kila namna huu utawala ufe, kwa kuwa walizoea kuishi bila kulipa kodi lakini sasa hivi lazima ulipe kodi kitu ambacho kinawanyima usingizi.Juzi tumesikia kuwa RAIS MAGUFULI analalamika kuna watu wametoa hela benki wameficha nyumbani eti kuzuia mzunguko wa hela inasadikika kuwa kundi hili limo kwenye hii harufu mbaya.

Mfano moja tuu niwape juzi tumemsikia RAIS wa ufilipino Rodrigo Durteze analalamika kuwa anahujumiwa na wafanyabiashara wa madawa ya kulevya waliounda mtandao wao kuhakikisha huyu RAIS anafeli katika utawala wake kwa kuwa alitangaza operation ya kuwanyonga hawa mabwenyenye. Lakini akawa na wakati mgumu kwa sababu huu mtandao ulikuwa mpana sanaaa hadi Marekani ameingilia kati kabisa kwa kigezo cha haki za kibinadamu. Swali ni je Marekani hawajawahi kuwanyonga watuhumiwa wa madawa ya kulevya?

Utakuta ni majibu nyepesi kwenye masuala magumu kama haya ukikaa na kufikiri kwa undani utakuta Kuna maslahi ya watu hapa ndo maana wanaingilia mambo yasiyowahusu kwani nani asiyejua athari za madawa ya kulevya inavoangamiza vijana na vizazi katika taifa. Lakini huyu Rais alipoingia madarakani aliivalia njuga kama MAGUFULI alivyolivalia njuga swala la mafisadi na kulipa kodi.

2: Ni genge la watu Wanaodai demokrasia ambayo hata demokrasia yenyewe hawaijui maana yake, eti kwao demokrasia ni kufanya mkutano wa kisiasa na maandamano ambao hauna faida kwa wananchi. Na hapa ndipo kuna upotoshaji mkubwa unaotaka kugawa serikali na wananchi wake, na viongozi wa hii genge hasa ni MBOWE na MAALIM SEIF ambao kwao demokrasia ni ubavu ndani ya vyama vyao na kutunishana msuli usio na faida kwenye ujenzi wa vyama vyao.

Wamejitahidi kutumia vijana wao kama YERIKO NYERERE,MALISA G,BENSAANANE,JULIUS MTATIRO,katika kuupotosha umma kwenye mtandao wa kijamii kama JF,Facebook na Twiter kuhusu dhana ya demokrasia na wanaenda mbali na kusahau kabisa kuwa wao ndo vijana wa kulisaidia taifa hii kwenda kwenye uchumi wa kati.

Niwasihi hawa vijana waache maramoja kuupotosha umma kuhusu neno demokrasia kama mawazo yao yalivofikia waaache utashi wa kisiasa bali wajenge hoja zenye mantiki ya kutuunganisha sisi wananchi kwenda kwenye uchumi wa kati kwa kuwa Mimi naamini RAIS MAGUFULI angekuwa dikteta wasingetamka hadharani kama wanavolitamka kwa nyakati tofauti Bali huu ni uchochezi wa hali ya juu kuwahi kutokea katika taifa hili.

Kwakuwa hili kundi linasadikika kuwa inapata support kutoka kwenye mtandao wa wafanyabiashara ambao kodi kwao kulipa hawataki na pia inapata support kutoka kwa mtandao wa mabwenyenye wa mataifa ya magharibi wenye mrengo tofauti na RAIS MAGUFULI ambao kwao lengo kubwa ni kutaka kuchuna rasimali zetu na mkakati huu ulianza tokea uchaguzi wa 2015 ambao hawa mabwenyenye wana kiu sanaa na rasimali zetu ndipo wanaungana na mtandao wenye mrengo kama ya kwao wenye kujiita wana demokrasia.

3. Ni taasisi Fulani Fulani zisizo za kiserikali ambao wanatumiwa na wana siasa kwa nyakati tofauti kuja kupotosha umma kuhusu dhana ya demokrasia na utawala wa RAIS MAGUFULI zipo taasisi za kidini na zisizo za kidini kama mnafuatilia mambo kiundani mmemsikia padri Fulani kwa nyakati tofauti amesikika kuupinga utawala wa MAGUFULI hadharani lakini siyo kosa lake ni kosa la waliomtuma.
Hili kundi lina ushirikiano mkubwa na kundi la pili kwa kuwa waga kuna vikao wanafanya kwa usiri Mkubwa na ndipo wakishapewa au wakishaaidiwa vitu Fulani unawasikia wakiropoka bila ata mantiki ya kutuunganisha sisi wananchi hivyo nitoe rai yangu kuvionya hizi taasisi ambao wanashirikiana kwa namna moja au nyingine na hii genge la MBOWE na wenzake kuacha Mara moja kwa kuwa wao ni taasisi bila kujali ya serikali au siyo ya ki serikali kazi yao ni kutuunganisha na si kutugawa na kuleta uchochezi.

4. Baadhi ya vyombo vya habari hapa utakuta kuna media zimenunuliwa na kuna wana habari pia na magazeti yamenunuliwa ili kupambana na serikali ya awamu ya tano juzi tuu ni mfano halisi baada ya waziri NAPE kuvifungia baadhi za station za radio zilizoripoti habari za kichochezi na hili kundi hushirikiana kwa karibu na kundi la pili kwa nyakati na sehemu tofauti.

Kila siku ukisoma gazeti Fulani ambye mmiliki wake ni kiongozi wa chama Fulani utaona na kujiiridhisha kuwa wanapambana na serikali ya awamu ya tano. Rai yangu kwa wanahabari wote kuacha mara moja mambo au kutoripoti kabisa habari za kichochezi zenye mrengo wa kutugawa katika taifa letu pia niwaonye wamiliki wa vyombo vya habari kuacha utashi wa kisiasa kuvitumia vyombo vyao kuripoti au kuandika habari za kichochezi zenye mrengo wa kuligawa taifa letu.

Safari ya kuelekea kwenye uchumi wa kati bado inaendelea:

Ni wako kijana mtiifu,mzalendo na mwanaharakati wa kweli.

SIMON MATO-0762189733.
sijaelewa unaamanisha nini
 
Polisi ukikamata dereva na kosa la barabarani,peleka gari kituoni afu ngoa matairi,akija kesho mwambie gari lake halikuja na matairi.
 
You must be crazy! Umezaluwa jana leo unajifanya unajua tafsiri ya neno Democracy kuliko Pluto,Nyerere au nguli wa siasa Generali Ulimwengu? Yaani unadhani watu wote watakaa wasifie hata wanapo jua amekosea au ameboronga?

For your information Nchi hii huyo Magufuli ameikuta na ataiacha kama alivyo ikuta.Akitaka tumuunge mkono afuate Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania in its fullest.

Ninyi vijana njaa zitawaua. Mwalimu Nyerere aliwahi kusema mtu Mwenye akili akikuambia jambo la kijinga ukafanya atakudjatau sana. Tazama nilivyo kudharau kwa kudhani umejenga hoja kumbe umeleta hadharani aina ya akili ilipo kichwani mwako. Umewahi kujiuliza kwanini Gazeti la Uhuru halijawahi kuandika mabaya ya Magufuli hata alipo chochea uhasama Wa kisiasa kule Zanzibar? Kwanza toa na namba yako ya simu JF.
 
Ndugu wanajamvi sisi kama wazalendo na wanaharakati ambao sote tunaipigania nchi yetu kwenda kwenye uchumi wa kati lazima tupaze sauti zetu kila Mara kupinga hujuma mbalimbali zinazofanywa na watu Fulani Fulani kuhakikisha RAIS MAGUFULI anakwama lakini kibaya zaidi hawajui hii nchi ni yetu sote na siyo MAGUFULI peke yakee.
Ndugu wanabodi hakika sasa hivi kuna mambo mengi yanayosemwa kwa RAIS wetu kuhusu utawala wake lakini kuna kitu kimejificha nyuma ya pazia ,na huu ni mtandao unaupinga utawala wa awamu ya tano au kwa lugha nyingine wanaomuhujumu RAIS magufuli na hapa wapo watu wa makundi mbali mbali na taasisi mbali ila ngojea nianze kuyachambua kama ifuatavyo;

1: Wafanya biashara ambao walikuwa hawalipikodi;hawa wameunda mtandao wao kwa usiri Mkubwa mno ili kuhakikisha kwa kila namna huu utawala ufe, kwa kuwa walizoea kuishi bila kulipa kodi lakini sasa hivi lazima ulipe kodi kitu ambacho kinawanyima usingizi.Juzi tumesikia kuwa RAIS MAGUFULI analalamika kuna watu wametoa hela benki wameficha nyumbani eti kuzuia mzunguko wa hela inasadikika kuwa kundi hili limo kwenye hii harufu mbaya.

Mfano moja tuu niwape juzi tumemsikia RAIS wa ufilipino Rodrigo Durteze analalamika kuwa anahujumiwa na wafanyabiashara wa madawa ya kulevya waliounda mtandao wao kuhakikisha huyu RAIS anafeli katika utawala wake kwa kuwa alitangaza operation ya kuwanyonga hawa mabwenyenye. Lakini akawa na wakati mgumu kwa sababu huu mtandao ulikuwa mpana sanaaa hadi Marekani ameingilia kati kabisa kwa kigezo cha haki za kibinadamu. Swali ni je Marekani hawajawahi kuwanyonga watuhumiwa wa madawa ya kulevya?

Utakuta ni majibu nyepesi kwenye masuala magumu kama haya ukikaa na kufikiri kwa undani utakuta Kuna maslahi ya watu hapa ndo maana wanaingilia mambo yasiyowahusu kwani nani asiyejua athari za madawa ya kulevya inavoangamiza vijana na vizazi katika taifa. Lakini huyu Rais alipoingia madarakani aliivalia njuga kama MAGUFULI alivyolivalia njuga swala la mafisadi na kulipa kodi.

2: Ni genge la watu Wanaodai demokrasia ambayo hata demokrasia yenyewe hawaijui maana yake, eti kwao demokrasia ni kufanya mkutano wa kisiasa na maandamano ambao hauna faida kwa wananchi. Na hapa ndipo kuna upotoshaji mkubwa unaotaka kugawa serikali na wananchi wake, na viongozi wa hii genge hasa ni MBOWE na MAALIM SEIF ambao kwao demokrasia ni ubavu ndani ya vyama vyao na kutunishana msuli usio na faida kwenye ujenzi wa vyama vyao.

Wamejitahidi kutumia vijana wao kama YERIKO NYERERE,MALISA G,BENSAANANE,JULIUS MTATIRO,katika kuupotosha umma kwenye mtandao wa kijamii kama JF,Facebook na Twiter kuhusu dhana ya demokrasia na wanaenda mbali na kusahau kabisa kuwa wao ndo vijana wa kulisaidia taifa hii kwenda kwenye uchumi wa kati.

Niwasihi hawa vijana waache maramoja kuupotosha umma kuhusu neno demokrasia kama mawazo yao yalivofikia waaache utashi wa kisiasa bali wajenge hoja zenye mantiki ya kutuunganisha sisi wananchi kwenda kwenye uchumi wa kati kwa kuwa Mimi naamini RAIS MAGUFULI angekuwa dikteta wasingetamka hadharani kama wanavolitamka kwa nyakati tofauti Bali huu ni uchochezi wa hali ya juu kuwahi kutokea katika taifa hili.

Kwakuwa hili kundi linasadikika kuwa inapata support kutoka kwenye mtandao wa wafanyabiashara ambao kodi kwao kulipa hawataki na pia inapata support kutoka kwa mtandao wa mabwenyenye wa mataifa ya magharibi wenye mrengo tofauti na RAIS MAGUFULI ambao kwao lengo kubwa ni kutaka kuchuna rasimali zetu na mkakati huu ulianza tokea uchaguzi wa 2015 ambao hawa mabwenyenye wana kiu sanaa na rasimali zetu ndipo wanaungana na mtandao wenye mrengo kama ya kwao wenye kujiita wana demokrasia.

3. Ni taasisi Fulani Fulani zisizo za kiserikali ambao wanatumiwa na wana siasa kwa nyakati tofauti kuja kupotosha umma kuhusu dhana ya demokrasia na utawala wa RAIS MAGUFULI zipo taasisi za kidini na zisizo za kidini kama mnafuatilia mambo kiundani mmemsikia padri Fulani kwa nyakati tofauti amesikika kuupinga utawala wa MAGUFULI hadharani lakini siyo kosa lake ni kosa la waliomtuma.
Hili kundi lina ushirikiano mkubwa na kundi la pili kwa kuwa waga kuna vikao wanafanya kwa usiri Mkubwa na ndipo wakishapewa au wakishaaidiwa vitu Fulani unawasikia wakiropoka bila ata mantiki ya kutuunganisha sisi wananchi hivyo nitoe rai yangu kuvionya hizi taasisi ambao wanashirikiana kwa namna moja au nyingine na hii genge la MBOWE na wenzake kuacha Mara moja kwa kuwa wao ni taasisi bila kujali ya serikali au siyo ya ki serikali kazi yao ni kutuunganisha na si kutugawa na kuleta uchochezi.

4. Baadhi ya vyombo vya habari hapa utakuta kuna media zimenunuliwa na kuna wana habari pia na magazeti yamenunuliwa ili kupambana na serikali ya awamu ya tano juzi tuu ni mfano halisi baada ya waziri NAPE kuvifungia baadhi za station za radio zilizoripoti habari za kichochezi na hili kundi hushirikiana kwa karibu na kundi la pili kwa nyakati na sehemu tofauti.

Kila siku ukisoma gazeti Fulani ambye mmiliki wake ni kiongozi wa chama Fulani utaona na kujiiridhisha kuwa wanapambana na serikali ya awamu ya tano. Rai yangu kwa wanahabari wote kuacha mara moja mambo au kutoripoti kabisa habari za kichochezi zenye mrengo wa kutugawa katika taifa letu pia niwaonye wamiliki wa vyombo vya habari kuacha utashi wa kisiasa kuvitumia vyombo vyao kuripoti au kuandika habari za kichochezi zenye mrengo wa kuligawa taifa letu.

Safari ya kuelekea kwenye uchumi wa kati bado inaendelea:

Ni wako kijana mtiifu,mzalendo na mwanaharakati wa kweli.

SIMON MATO-0762189733.
Anajihujumu mwenyewe,msitafute sababu nyingine
 
Mbona tetemeko la Kagera hujalitaja katika wahujumu,maana limeifedhesha serikali inayojali masikini wakati kwa mwezi inakusanya tirioni ila imeshindwa kutoa msaada wa takribani milioni miatatu
Halafu ngojea niwajibu humuhumu nimekaa kimya mda mrefu kuhusu mlivokuwa mkipotosha umma hapa mtandaoni hivi nyie CHADEMA vipi maafa yaliyotokea bukoba kwanini muigeuze swala la kisiasa??? Mbna mna siasa za kimiujiza!!!

Mbowe akichangia au mbatia kuna haja gani ya kututangazia huku mtandaoni? Si ni watanzania au mnataka kutuaminisha kuwa siyo mtanzania? Juzi tuu hapa RAIS MAGUFULI alimnunulia mlemavu bajaji anafanyia kazi yake kumuingizia kipato hapo hamjachangia siku ya Eid akawapa waislamu chakula na kuwanunulia vitu haikuwa agenda ya kisiasa kwa kuwa ni MAGUFULI na siyo mbowe wala lowasa.

Wabunge waliochangia ni wote hawakujali itikadi za vyama lakini hiyo haitoshi mnaendelea kuupotosha umma kuwa CHADEMA tuu ndo inaonekana inawajali wale wananchi huu uchonganishi kati ya wananchi na serikali yapo majanga mengi yametokea lakini serikali imesaidia kwa kadri ya uwezo wake lakini nyie mmefunikwa macho hamuwezi mkaona zaidi ya msaada wa mbowe na mbatia na fisadi lowasa!!!

Wekeni basi na akiba ya maneno khaaaa hata aibu Hamna!!! Halafu niwafundishe mambo ya serikali yanapelekwa kisayansi siyo kiuchwara na kukurupuka kama DJ mbowe na genge lake wanafanya tafiti wanajua chanzo wanakuja kwenye impact iliyotokea ndipo wanajua kutreat or to solve the problem lakini nyie ni propaganda tuuuuh!!!!

Nawashangaa sanaa vijana wezangu tubadilike ata dunia imebadilika twende na nyakati tupunguze propaganda najiuliza RAIS MAGUFULI angeenda Bukoba mngeongea mengi sasa hivi ametulia mnaeneza propaganda nyingi oooh hawajali wananchi wake nani kakwambia??? Hawajali acheni hizi siasa za kuigiza hatutafika!!!
 
Wahanga wa tetemeko la ardhi uko Kagera wamelala nje siku 3 amna msaada wowote wa serikali,ata mahema ya kujisitiri wameshindwa kuwapelekea.
Halafu mtu anakuja kusema Rais anahujumiwa?
nimepata kicheko sana mkuu. Dah wewe mkali.
 
Back
Top Bottom