Wanaokwapua na kuficha pesa ya umma 2025 hamtakuwepo

kasanga70

JF-Expert Member
Oct 19, 2015
212
489
Taifa letu ni shamba la bibi kwa baadhi ya familia na koo fulani. Katika kipindi hichi kuna koo, familia na baadhi ya watu fulani utajiri wao utaongezeka mara dufu yaani.

Napenda kuwakumbusha tu taifa hili lina watu maskini wengi sana tena wanateseka mno wakati mwingine kwa sababu ya mifumo iliyotengrnezwa na wanasiasa wezi na waporaji wasiojali utu...na ukiangalia kwa makini vijana wengi ambao ndio nguvukazi tegemezi wamekata tamaa sana na ufukara ndio unapamba moto..

Hoja za maendeleo ni kama zinadeal na idadi ndogo sana ya watu, wezi hawamulikwi wala hawajadiliwi ipasavyo.

Nimekuwa kwenye sala kwa muda wa miezi 3 jumbe nilizopata kuhusu this nation ni tata kidogo but leo naomba nirelease hii moja kwanza. WANAOKWAPUA Pesa za umma kwa ajili ya uchaguzi na kujitajirisha zaidi wao na familia zao hawatapata fursa ya kula wala kuona matunda ya hizo pesa...wengi watakuwa phased out before 2025 na wengine walionusurika watakuwa hoi vitandani, powerless and useless hata baada ya uchaguzi ujao.

NB. Angalizo kama una hila usijaribu kuingia kwenye uchaguzi ujao aidha kugombea au ku finance hila kwenye uchaguzi. you'll suffer miserably sababu kubwa ni hii...2025 election God will be very very much concerned na leadership structure ya Tanzania kwa sababu ya ajenda yake ya baada ya uchaguzi ujao.

Naomba kuishia hapo tunza huu ujumbe and watch my words..ahsante
 
Pambana na hali yako.

Pambana nawewe uingie kwenye mfumo acha kulalama hapa haisaidii.

Au pambana kuwaondoa kama tulivyopambana kumuondoa Dikteta Magufoool.
 
Pambana na hali yako.
Pambana nawewe uingie kwenye mfumo acha kulalama hapa haisaidii.
Au pambana kuwaondoa kama tulivyopambana kumuondoa Dikteta Magufoool.
I know my office rafiki yaani wewe unaona kuingia kwenye mfumo ndio maisha siooo....! Soo sad.
 
Na ukiulizwa familia IPI imeiba bilioni ngapi kutoka wapi...utakuta wewe mwenyewe hujui ...umesikia tu...
 
Nenda shule ndg....at least uelewe ujumbe.. i dont suggest.
Husemi kitu sababu hujui ku-defend your point ....yaani umeamua kuropoka tu. Kuuumbe hujui humu kuna watu humu JF wana akili mingi

Wewee usirudie tena kuropoka....utaja kunywa sumu bure.
 
Sie Bongo! kwanza tuko vizuri yeyote mtu tajiri/maskini aweza gombea..... na weye nenda gombea??? Ukazuie hayo....siyo unilalamika tyuuuu nyuma ya key board km msimbe aliyekosa machicha mnaudhi sana bana weee...
 
Husemi kitu sababu hujui ku-defend your point ....yaani umeamua kuropoka tu. Kuuumbe hujui humu kuna watu humu JF wana akili mingi
Wewee usirudie tena kuropoka....utaja kunywa sumu bure.
Haya sawa basi
 
Aisee naomba kazi basi hata ya ku brash viatu angalau nipate tsh 500 bosi
No!! kwa kuwa wewe kwa jinsi unavoonekana utaniletea kesi nyumbani kwangu km nikikudhamini kwa kazi hiyo kuna mawili tu hapo.

utanywea hela ya wateja na hutokuja kazini ajili ya uchovu au

La pili kwa akili hizi utasahau kabisa kazi yako. Au mkeo km yupo atakuwa na kazi ya kukumbusha kila siku.mateso hayo.
 
No!! kwa kuwa wewe kwa jinsi unavoonekana utaniletea kesi nyumbani kwangu km nikikudhamini kwa kazi hiyo kuna mawili tu hapo.....

utanywea hela ya wateja na hutokuja kazini ajili ya uchovu au

La pili kwa akili hizi utasahau kabisa kazi yako. Au mkeo km yupo atakuwa na kazi ya kukumbusha kila siku.mateso hayo.
Sawa bosi ngoja niendelee kupambana na hali yangu
 
Back
Top Bottom