kasanga70
JF-Expert Member
- Oct 19, 2015
- 212
- 489
Taifa letu ni shamba la bibi kwa baadhi ya familia na koo fulani. Katika kipindi hichi kuna koo, familia na baadhi ya watu fulani utajiri wao utaongezeka mara dufu yaani.
Napenda kuwakumbusha tu taifa hili lina watu maskini wengi sana tena wanateseka mno wakati mwingine kwa sababu ya mifumo iliyotengrnezwa na wanasiasa wezi na waporaji wasiojali utu...na ukiangalia kwa makini vijana wengi ambao ndio nguvukazi tegemezi wamekata tamaa sana na ufukara ndio unapamba moto..
Hoja za maendeleo ni kama zinadeal na idadi ndogo sana ya watu, wezi hawamulikwi wala hawajadiliwi ipasavyo.
Nimekuwa kwenye sala kwa muda wa miezi 3 jumbe nilizopata kuhusu this nation ni tata kidogo but leo naomba nirelease hii moja kwanza. WANAOKWAPUA Pesa za umma kwa ajili ya uchaguzi na kujitajirisha zaidi wao na familia zao hawatapata fursa ya kula wala kuona matunda ya hizo pesa...wengi watakuwa phased out before 2025 na wengine walionusurika watakuwa hoi vitandani, powerless and useless hata baada ya uchaguzi ujao.
NB. Angalizo kama una hila usijaribu kuingia kwenye uchaguzi ujao aidha kugombea au ku finance hila kwenye uchaguzi. you'll suffer miserably sababu kubwa ni hii...2025 election God will be very very much concerned na leadership structure ya Tanzania kwa sababu ya ajenda yake ya baada ya uchaguzi ujao.
Naomba kuishia hapo tunza huu ujumbe and watch my words..ahsante