Wanaokufa wanaenda wapi?, je wanakuwa wamekufa moja kwa moja au Kuna maisha mengine

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
14,304
29,835
Halooo! Kaeni tayari kesho nakuja nikiwa full content. Niweze kuwaelezea ukweli wa maisha baada ya kifo. Huwa tunaona watu wamekufa lakini huenda hujui huyu marehemu huwa anaenda wapi baada ya roho kuacha mwili. Kwanini hatusemi marehemu atazikwa kesho Bali tunasema mwili wa marehemu utazikwa kesho, unajua marehemu huwa yu wapi? Kaa tayari.
 
Mpwayungu, safari hii Kuna zabibu? au mmeambulia mtama tu.
Sijawahisikia mtabiri katokea Kanda ya kati au aliyerudi toka kuzimu
 
Karibu Mkuu utupe somo roho zetu zipone!
Kikubwa tu ni mtu atubu dhambi zake kwa jina la Yesu apate ondoleo la dhambi,(Matendo2:38).Ukifa sasa BWANA Yesu anayekuhakikishia kwenda Peponi ambapo wote tunaitaka,(Luka23:43).
Mwenye dhambi ye yote hataingia Peponi,(1Wakorintho6:9-10) na (Wagalatia 5:19-21)
Bila kutubu dhambi mtu anakwenda kukumbana na Mauti ya miele,kule hakuna kupumzika,(Ufunuo21:8)!
Msikilize huyu tajiri alivyokuwa analalamika huko ,(Luka16:22-31).
Kwa hiyo ndugu tusiuchezee huu muda ambao Mungu anatupa kila siku.
Mtu akifa asitegemee hizi sala ambazo Mungu hasikii,"EE MUNGU ILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI"!
MUNGU ATUSAIDIE TUSIISHIE PABAYA BAADA YA KUFA ETI KWA SABABU HATUKUJIANDAA.
 
Back
Top Bottom