Hivi Masaki washapata maji siku hizi au mwendo wa Simtank bado?
naomba usisahau dagaa dear
kama ya mgao yatakuwa sio kibao.Wanayo maji kibao japo ya mgao...
naomba usisahau dagaa dear
Wa Kwa Tandale kwa mtogole, "Nletee udongo na Perege
baba nani ucxhau kuja na utumbo wa kuku