Wakazi wengi wa Uswahilini Dar es Salaam ni viumbe wa ajabu sana

mimiamadiwenani

JF-Expert Member
Mar 9, 2022
5,411
7,016
Kwanza nilianza utafiti wangu usio rasmi katika maeneo ya Feri, Mbagala, Mabibo, Kimara, Manzese, Tandale, Mburahati, na maeneo mengine kadha wa kadha ya Uswahilini. Niligundua na kujua vingi.

Cha kwanza: Wanawake wengi wa maeneo haya, na vibinti pia vya sekondari, wana udini mno na wengi wanatoa mapenzi kwa kujuana.

Utasikia wakisimuliana habari za wanaume, wakisema "yule Twaha anakuja kesho"., "kwani baba Iqi hajarudi?", na maneno kadha wa kadha. Majina yote ni ya upande wa pili. Siyo mbaya, ni nzuri kwani kila mmoja ana uhuru wa kuchagua.

Wanawake na mabinti ni malaya mno, hawana adabu kwa mama zao na kwa watu wengine. Vijana pia hawana adabu.

Cha pili: Wengi zaidi ya 100% hawana shule kichwani, yaani hawajaenda shule. Sababu kubwa ni uhuni, jeuri, kuharakia maisha, na ujuaji wanaouanza toka wakiwa vijana wadogo. Na waliojaribu kusoma wengi waliishia njiani. Wachache mno wamefika kidato cha nne.

Cha tatu: Wengi wana wivu kwa wageni hususani wanafunzi wa vyuo wanaokuja kusoma DSM. Wanapenda kuomba omba na wakinyimwa huanza fitina na majungu.

Cha nne:
Mkusanyiko wa tabia zote za kichawi upo huku. Roho mbaya,majungu, fitina vyote utavikuta huku. Ile tafsiri ya masikini kuwa na roho mbaya basi utaikuta huku.

Cha tano: Wengi wana vitambi na miili minene minene ilhali kazi na vipato vyao havieleweki. Najiuliza sana, wapi wanapata hela ya kula mpaka wananenepa wengi wao. Mavazi yao wengi ni chakavu ila miili ni minene. Najiuliza sana kuhusiana na hili.

Naomba niitenge Feri. Wengi wa pale Feri ni Wamakonde, kichwani hakuna shule, uchafu, mazingira wanayoishi ni duni ila nao wamenenepeana sana. Wanapata wapi pesa za kula vizuri?

Cha mwisho, wengi wanaoishi mazingira ya Uswahilini ikiwemo Feri ni kama si Watanzania, its just like zombies na serikali imewatelekeza, haina habari na wao.

Wanaishi kama wanyama mostly, vyakula ni miguu ya kuku na vichwa na ugali. Serikali iliangalie hili kwa mapana yake kwa kweli. Hali inatisha.

Wengi akili zao ni kama zimeruka, si wanawake, si watoto, si wanaume. Utagundua hili mara tu utakapoongea nao kwa mara hata ya kwanza tu.

Kuna siri ipi kwa hawa watu? Wengi sura zao zimechoka. Si wasichana wadogo, si vijana, si akina mama, wazee ndiyo usiseme. Ndugu zetu what's wrong with you?
 
Tumekusoma tajiri wa jf
Ila ujue duniani Maisha hayafanani,Kuna tajiri,Kuna kipato Cha kati Kuna maskini.mwisho wa siku wote ni watu.kuhusu tabia ungekuwa na akili ungeshajua mazingira ndo huaffect tabia ya mtu.
Tracy wa masaki aliesoma Harvard hawezi kubehave sawa na mwajuma msasambuaji kigogo luhanga alilelewa mazingira duni yalojaa shida za Kila aina na frustrations.

Mwisho wa siku hakuna binadamu anaependa Maisha ya shida,ni mengi uyanachangia na mengine ni uzembe binafsi.
Halafu usijibaraguze hapa kuleta swaga za kiduku Lilo kujifanya unawashangaa maskini as if umewaona leo
 
hivi Kidukulilo yupo jamani, longtime simsomi huyu jamaa, tangu korona
 
Back
Top Bottom