Pale nsumba PCB imeanzishwa juzi lakini kutokana na mazingira na uongozi uliopo sasa hivi ni rahisi sana kuchomoka.Hivi hiyo shule inaweza kuipiku bwiru boys maana nilipga PCB mwaka 1998 nilitoka, na one
Mkuu uliishi Sokoine room namba ngapi?Aende tu mie nilisoma kule kuna siku nilitembelea pale nikakuta mr zakeyo ni HM na mr LUKONGE ndo second..halfu aliyekuwa second mr Mwakisimba amepelekwa kuwa ticha mkuu huko mabatin
Kimasomo ipo vizuri sana nasikia siku hizi olevel hamna pia wameongeza comb. Za PCM,PGMna PCB pale utapiga msuli sana maana madarasa hayafungwi muda wote
Na pia kama unapenda mpira nyamalango itakuhusu na hapo sauti ukivuka barabara kuna sehem wanaonesha mpira coz ni mabweni ya chuo
Mabweni yapo vizuri mie nilikuwa naishi SOKOINE bweni balaa sana lile
Ila nakumbuka enzi hizo siku ya wali foleni ndefu sana mpaka nje na pia siku ya nyama
Hizo ni baadhi tu ya dondoo chache kuhusu shule
Ila namshukuru mungu nilimaliza sala na saa hii naendesha maisha yangu...ukitaka maelezo zaidi fika shuleni kwa kweli ni kuzuri sana
Pale rum 2 halfu nilipoona walim wanakagua sana madoja nikakimbilia rum 6Mkuu uliishi Sokoine room namba ngapi?
Mie nimeishi sokoine room 1 enzi hizo, sisi ndio tulifungasha virago vya O-level pale na kuiacha ikiwa pekee.
Bila shaka ulisoma nganza weweHahahahaha jaman. Bora angesema nganza hapo sawa ila nsumba boys tena uwiiiiuwiiii pagumu hapo
Bila shaka ulisoma nganza wewe
Shule gani?Hapana nilisoma shule moja wilaya ya ilemela
Piga msuli dogo, watu tushamake historia zetu utaendelea kuzisoma tu hapa JFC ugoogle c udumbufu htutaki
Shule gani?
Siku hizi nsumba wapo vizuri sanaaa tena sana...ukiangalia kwa shule za mwanza wanafunzi wengi wanapendelea NSUMBA na pia mazingira yapo fresh sana utazan ni chuo maana campus ya kutosha na kwa kuongezea kuna combi. Za sayansi PCM, PGM na PCB kama sijakosea..Hivi hiyo shule inaweza kuipiku bwiru boys maana nilipga PCB mwaka 1998 nilitoka, na one