sam sanity 01
Member
- May 25, 2017
- 37
- 8
Habari wana jamii, ninahitaji kuifahamu vyema shule ya Nsumba.
Nahitaji dondoo za mazingira, ufundishaji, na zamu.
Nahitaji dondoo za mazingira, ufundishaji, na zamu.
Shule iko powaa mm nimepita pale mwaka jana PCM now ni UDSM. Mazingira tulivu ila iko pembezoni kidogo mwa mji pia ni 5 & 6 tuuHabari wana jamii, ninahitaji kuifahamu vyema shule ya Nsumba.
Nahitaji dondoo za mazingira, ufundishaji, na zamu.
nmepita pale O-Level 2009. Ni shule iko good sana mzee. tafta uhamisho uingie upige masomo.Habari wana jamii, ninahitaji kuifahamu vyema shule ya Nsumba.
Nahitaji dondoo za mazingira, ufundishaji, na zamu.
Vp kwa wageni maana shule nyingine mgeni ndo mjmtumwaShule bora 4years nlkuwa pale pm any qns
Hapo gud sio shule iko pembeni ya sokoShule iko powaa mm nimepita pale mwaka jana PCM now ni UDSM. Mazingira tulivu ila iko pembezoni kidogo mwa mji pia ni 5 & 6 tuu
Asante broDogo nsumba boys ni shule nzuri sana ila ubaya wake ina pakana na chuo cha sauti so kama wewe hujakuwa ki akili yaani shule utaona nuksi tuu maana vi sketi vipo vingi aseeeeee na pia ipo kilomita 0 na shule ya wasichana NGANZA GIRLS high school aseeeeee kama hujakuwa ki akili utaondoka na yai vinza so ukienda nsumba chunga sana hao viumbe na kaa nao kwa distance ya 1000 kilometer apart maana wapo shazii na pia wana poteza concentration ya kusoma ...,jiwekee moyoni baada ya kumaliza form 6 ACSEE NECTA UTAWAKUTA TUU MTAANI ULIPO TOKA..,pia usome sana
Dogo hongera sana kwa kutaka kuhamia NSUMBA, ukifika umsalimie Samweli(mpishi mkuu) na Mr. Zakeo(HM).Habari wana jamii, ninahitaji kuifahamu vyema shule ya Nsumba.
Nahitaji dondoo za mazingira, ufundishaji, na zamu.
Asante na salamu nitazifikisha ila ntaenda PCBDogo hongera sana kwa kutaka kuhamia NSUMBA, ukifika umsalimie Samweli(mpishi mkuu) na Mr. Zakeo(HM).
Kwanza dogo unaenda kusoma comb gani?.
Nsumba ni shule nzuri sana kwa kupiga msuli na hatimae kufikia ndoto zako za kufika chuo, kama unaenda kwa comb ya Arts hapo ni fulu bata, lakini kama ni wazee wa Phyz, bioz, chemia hapo lazima utoboe ndio kieleweke.
Mazingira yako safi sana pembezoni mwa Kitintale yaani fulu vivuli na miti yake mingi kwa kusoma sehemu yoyote ukipenda hasa mida ya kuanzia jioni baada ya kutoka kuchop magogo ya kupikia kwa mashoka mabutu utadhani wafungwa wa Butimba au Segerea. Hapo utaimarika kiafya maana utakuwa umepata mazoezi tosha.
Mengine utayajua huko dogo hatuwezi kukuambia kila kitu.
We nenda tu hata mimi nilienda bila kuambiwa chochote zaidi ya jina lakini niliweza kuadopt na nikasavaivu kwa miaka kadhaa hatimaye nipo somewhere now.
Kapige msuli dogo kumbuka upepo wa Magu saiv hausomeki unakoelekea kwa hiyo kajijenge vizuri kukabiliana na changamoto za baadae mbeleni.
Kakomae dogo, hiyo comb nimeisoma mimi haihitaji mchezo kabisa.Asante na salamu nitazifikisha ila ntaenda PCB
Usijali kukomaa lazima maana life halina mzahaKakomae dogo, hiyo comb nimeisoma mimi haihitaji mchezo kabisa.
Ukiiweza tu maeneo fulani utachomoka rahisi sana, na kwenda kupiga MD yako safi tu Chuo unachotaka