Wanaofungisha ndoa za mkeka wanapata wapi mamlaka?

Wanaofungisha ndoa za mkeka wanapata wapi mamlaka?

ARCHBISHOP

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Posts
271
Reaction score
488
Tokea nikiwa mdogo nimekuwa niksikia kuhusu uzi ndoa za mkeka, na niliambiwa hizi ufungishwa kwa razima pale unapofumaniwa na binti wa watu basi unawekwa chini ya ulinzi na shekhe anaitwa na ndoa inafungwa, uwe unataka au hutaki!

Binafsi nimekuwa nikipinga jambo hili na ninajiuliza ni muda gani hati za ndoa upatikana ghlafla ivi? Na je? Tangazo la ndoa linakuwa limetoka?

Je akitokea muweka pingamizi atasikilizwa? Na mwanaume akiamua kukataa atafanywa nini pale?

Vipi kuhusu wazazi wa mwanaume, hawana haki yakumfumania binti na kijana wao wakawapiga pingu za maisha?

Kwenye sheria za ndoa ndoa hii ni batili lakini nashangaa bado serikali haitaki kuzipiga marufuku kabisa maana vibinti vya uswahilini vinavizia vijana wenye mwelekeo, vinajitongozesha nakujileta geto, kumbe vimeshaandaa wajomba, mashangazi mpaka mababu. Tazama sheria ya ndoa hapa chini!
******************
MAANA YA NDOA
Kwa mujibu wa kifungu cha 9(1), cha Sheria ya Ndoa, sura ya 29
ya sheria za Tanzania, ndoa ni muungano wa hiari kati ya
mwanaume na mwanamke unaokusudiwa kudumu kwa muda wa
maisha yao yote.
Hata hivyo, muungano huo ili uweze kukamilika kisheria ni lazima
mambo ya msingi yafuatayo yazingatiwe, nayo ni:

2.1 Hiari
Kifungu cha 16 kinaeleza kuwa muungano huo lazima uwe wa hiari.
Udanganyifu au ulaghai, kurubuniwa kwa aina yoyote unafanya
muungano usiwe wa hiari. Kama itathibitika kwamba hakukuwa na
hiari basi muungano huo hauwezi kufikia hadhi ya kuwa ndoa.
Watoto wa kike kuchaguliwa wanaume na wazazi/walezi wao au
ndoa zinazoitwa za mkeka si ndoa kwa mujibu wa sheria hii ya ndoa.
 
Katika ukristo hakuna uchafu huu.
Wanao wale wengine.
(Sikia wanavyokuja kunitukana)
kwa hiyo usafi ni kuzini miaka 20 ndio ufunge ndoa?ukizini na mwanamke ukikamatwa naye unatakiwa umuoe kwa sababu tendo la ndoa ni kwa wanandoa tu.Hongereni kwa usafi wenzetu wakuruhusu Zinaa.Mimi nashangaa?hapana sishangai,niliwahi kuona ndoa ya kinaswara huwa kuna vitoto vidogo vinatangulia mbele wakati wa kwenda ukumbini,nikagundua ni watoto wa wanaofunga ndoa.Nashangaa huu usafi watoto wanashuhudia ndoa ya wazazi wao?wao wamezaliwaje?kwa zinaa?Huo ndio usafi wenu?Tafakari
 
kwa hiyo usafi ni kuzini miaka 20 ndio ufunge ndoa?ukizini na mwanamke ukikamatwa naye unatakiwa umuoe kwa sababu tendo la ndoa ni kwa wanandoa tu.Hongereni kwa usafi wenzetu wakuruhusu Zinaa.Mimi nashangaa?hapana sishangai,niliwahi kuona ndoa ya kinaswara huwa kuna vitoto vidogo vinatangulia mbele wakati wa kwenda ukumbini,nikagundua ni watoto wao?Nashangaa huu usafi watoto wanashuhudia ndoa ya wazazi wao?wao wamezaliwaje?kwa zinaa?Huo ndio usafi wenu?Tafakari
Jamani msingi wa hoja yangu siyo dini, msingi ni uhalari kisheria, nilitaka kujua nikikataa inakuwaje? Please msiingize dini plz
 
Jamani msingi wa hoja yangu siyo dini, msingi ni uhalari kisheria, nilitaka kujua nikikataa inakuwaje? Please msiingize dini plz
mshauri justin Dunnie ndiye ametibua nyongo yangu kwa kejeli.
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Sheria ya nchi na ya dini hailingani mkuu.Ukiishi na mwanamke mda fulani moja kwa moja ni mkeo kiserikali lakini kidini unazini,unafanya uasherati.
 
Yaelekea dini hizi mbili zina tafsiri ya mambo, taratibu,kanuni na sheria zinazotofautiana sana kila moja kwa mtazamo wake! Sio vizuri kuanza kuparurana na kutukaniana dini sababu ya mitazamo na tafsiri zetu za mambo. Kama itawapendeza wachangiaji wote natoa rai tuijadili ndoa ya mkeka kwa mtazamo wa tamaduni za makabila yetu kitu ambacho hakitaleta ugomvi bali utani tu. Vinginevyo hapa kuna watu wanatafuta tu sababu ya kutukana dini za wenzao huku pia wakitukanisha dini zao!
 
hatukutukani mkuu...na katika uislamu uchafu wa zinaa hauruhusiw kama huko kwenu....ndo maana inatokea kitu hicho kama umekutwa
Hakuna dini inayo ruhusu uchafu huo,istoshe dini ni jambo la mtu mmoja mmoja.
 
huku pwani wanaita mwajara mwanangu wakikuotea una binti yao huchomoki na ukijifanya unakataa wanaweza wakakua
 
Ni jambo la kila Mmoja kufuata taratibu zake.Wa mkeka inawezekana akaoa wakaondokana na dhambi ya uzinifu.aliezini miaka ishirini akabariki uzinifu watoto wake watakuwa mashahidi Wa uzinifu huo Siku ya hukumu
 
Back
Top Bottom