Wanaofungisha ndoa za mkeka wanapata wapi mamlaka?

Bad enough kwa jinsi wengi wetu hatutaki kuoa huku ongezeko la mabinti waandamizi wazio na ndoa likizidi, kumeibuka katabia ka wenye mabinti tajwa kuwatumia watoto wao kama chambo cha ndoa!
 
Jamani msingi wa hoja yangu siyo dini, msingi ni uhalari kisheria, nilitaka kujua nikikataa inakuwaje? Please msiingize dini plz
Unajikoroga unaposa msingi wa hoja yako kisheria unamaanisha sheria ipo mkuu? Maan ni lazima urudi kwa sheria ya dini ipi? Usizunguke round about kwani unakwenda wapi
 
Tusiende kwenye misimamo ya kidini. Ukweli ni kwamba kizazi cha sasa kimedidimia kwenye uzinzi na kujifariji kwamba ni chaguo la mhusika. Ni dhambi mbaya. Kumbukeni zamani kwenye makabila yetu mengi binti alitakiwa awe bikra wakati anaoolewa na wengi walikuwa hivyo. Walibakije mabikra kama
walikuwa wapenda ngono kama hawa wa sasa? Na makabila kadhaa hapa hapa nchini yalikuwa na adhabu ya kifo kwa kijana na msichana wanaoshikwa wakizini. HAYO NI KABLA UKRISTO mNA UISLAMU HAUJAINGIA. Leo mnasema ndoa ya mkeka ni adhabu mbaya!
 
Tokea nikiwa mdogo nimekuwa niksikia kuhusu uzi ndoa za mkeka, na niliambiwa hizi ufungishwa kwa razima pale unapofumaniwa na binti wa watu basi unawekwa chini ya ulinzi na shekhe anaitwa na ndoa inafungwa, uwe unataka au hutaki!

Binafsi nimekuwa nikipinga jambo hili na ninajiuliza ni muda gani hati za ndoa upatikana ghlafla ivi? Na je? Tangazo la ndoa linakuwa limetoka?

Je akitokea muweka pingamizi atasikilizwa? Na mwanaume akiamua kukataa atafanywa nini pale?

Vipi kuhusu wazazi wa mwanaume, hawana haki yakumfumania binti na kijana wao wakawapiga pingu za maisha?

Kwenye sheria za ndoa ndoa hii ni batili lakini nashangaa bado serikali haitaki kuzipiga marufuku kabisa maana vibinti vya uswahilini vinavizia vijana wenye mwelekeo, vinajitongozesha nakujileta geto, kumbe vimeshaandaa wajomba, mashangazi mpaka mababu. Tazama sheria ya ndoa hapa chini!
******************
MAANA YA NDOA
Kwa mujibu wa kifungu cha 9(1), cha Sheria ya Ndoa, sura ya 29
ya sheria za Tanzania, ndoa ni muungano wa hiari kati ya
mwanaume na mwanamke unaokusudiwa kudumu kwa muda wa
maisha yao yote.
Hata hivyo, muungano huo ili uweze kukamilika kisheria ni lazima
mambo ya msingi yafuatayo yazingatiwe, nayo ni:

2.1 Hiari
Kifungu cha 16 kinaeleza kuwa muungano huo lazima uwe wa hiari.
Udanganyifu au ulaghai, kurubuniwa kwa aina yoyote unafanya
muungano usiwe wa hiari. Kama itathibitika kwamba hakukuwa na
hiari basi muungano huo hauwezi kufikia hadhi ya kuwa ndoa.
Watoto wa kike kuchaguliwa wanaume na wazazi/walezi wao au
ndoa zinazoitwa za mkeka si ndoa kwa mujibu wa sheria hii ya ndoa.
[emoji121]
SASA NAAEMA HIVI,

KATIKA NDOA BORA NA ZENYE TIJA KWANGU,
NI NDOA YA MKEKA.

HII NDOA NAITAFUTA SANA,
KWANI NI NZURI SANA KIUCHUMI,
NA HUOKOA MUDA.

HAKUNA KUTOZANA MAHARI NYINGI,
HAKUNA GHARAMA ZA AJABUAJABU,
HAKUNA KUSUMBUA WATU-
KWA UPUUZI WA MICHANGO NA MIALIKO!!!

NAFANYA UCHUNGUZI HUKU KITAA,
NIKIBAINI KUNA BINTI ANAWEZA KUOZESHWA KWA NDOA YA MKEKA NAANZA NAYE.

[emoji121] [emoji121] [emoji121]
 
Shukrani mkuu umeelewa lengo langu. Mimi ni mkristo lakini nawaheshimu sana ndugu zangu waislam maana hata kwenye familia yangu wapo.
Katika uislamu,ndoa ina taratibu zake.
Kuna sharti na nguzo za kuswihi ndoa. Ukizingatia sheria ya ndoa kwenye uislamu,utagundua kwamba ndoa ya mkeka si ndoa halali. Bali ni idhini ya zinaa inayotolewa kwa wazinifu ili wakaendelee kuzini.

Pia katika uislamu,yule uliezini nae huruhusiwi kuona nae ila mtakapo tubu kikweli. Na mkatengana kwa muda wa mwaka mmoja.

Wakati wa kufunga ndoa kunahitajika ridhaa ya muoaji na muolewaji. Yeyote atakayelazimishwa kati yao, itakuwa ndoa hiyo ni batili.
Ukitazama ndoa ya mkeka muoaji huwa analazimishwa.

Pia hutakiwa walii. Huyu ndio humuozesha binti. Na si shekh.

Ukifuatilia hayo kwa uchache utagundua kwamba hiyo ndoa ya mkeka ni utapeli na si ndoa sahihi
 
Sheria ya nchi na ya dini hailingani mkuu.Ukiishi na mwanamke mda fulani moja kwa moja ni mkeo kiserikali lakini kidini unazini,unafanya uasherati.
haswa kuna tofauti katika maamuzi ya kidini na kisheria, sheria ina muda lakini Dini so longer hamjala kiapo mnazini, hiyo siyo ndoa na hii ni kwa dini zote
 
Katika uislamu,ndoa ina taratibu zake.
Kuna sharti na nguzo za kuswihi ndoa. Ukizingatia sheria ya ndoa kwenye uislamu,utagundua kwamba ndoa ya mkeka si ndoa halali. Bali ni idhini ya zinaa inayotolewa kwa wazinifu ili wakaendelee kuzini.

Pia katika uislamu,yule uliezini nae huruhusiwi kuona nae ila mtakapo tubu kikweli. Na mkatengana kwa muda wa mwaka mmoja.

Wakati wa kufunga ndoa kunahitajika ridhaa ya muoaji na muolewaji. Yeyote atakayelazimishwa kati yao, itakuwa ndoa hiyo ni batili.
Ukitazama ndoa ya mkeka muoaji huwa analazimishwa.

Pia hutakiwa walii. Huyu ndio humuozesha binti. Na si shekh.

Ukifuatilia hayo kwa uchache utagundua kwamba hiyo ndoa ya mkeka ni utapeli na si ndoa sahihi
Haya ndo mambo tulitaka kuambiwa humu,
Ningekua najua kizungu ningeandika "Dude, you nailed it top to bottom'"
 
Sheria ya nchi na ya dini hailingani mkuu.Ukiishi na mwanamke mda fulani moja kwa moja ni mkeo kiserikali lakini kidini unazini,unafanya uasherati.
Kama kitu hukijui kaa kimya sio kupotosha na zaidi jadili mada iliyo ubaoni
 
Naona unanitafuta ugonvi jiepushe na mimi kabisa.Wewe unajua badala ya kuchangia unaniquote,subiri jioni utanikuta nimekuja kumtembelea mamaako,Ndio utapima DNA ujua babaako ni nani
 
[emoji121]
SASA NAAEMA HIVI,

KATIKA NDOA BORA NA ZENYE TIJA KWANGU,
NI NDOA YA MKEKA.

HII NDOA NAITAFUTA SANA,
KWANI NI NZURI SANA KIUCHUMI,
NA HUOKOA MUDA.

HAKUNA KUTOZANA MAHARI NYINGI,
HAKUNA GHARAMA ZA AJABUAJABU,
HAKUNA KUSUMBUA WATU-
KWA UPUUZI WA MICHANGO NA MIALIKO!!!

NAFANYA UCHUNGUZI HUKU KITAA,
NIKIBAINI KUNA BINTI ANAWEZA KUOZESHWA KWA NDOA YA MKEKA NAANZA NAYE.

[emoji121] [emoji121] [emoji121]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] umeuwa mkuu
 
Katika uislamu,ndoa ina taratibu zake.
Kuna sharti na nguzo za kuswihi ndoa. Ukizingatia sheria ya ndoa kwenye uislamu,utagundua kwamba ndoa ya mkeka si ndoa halali. Bali ni idhini ya zinaa inayotolewa kwa wazinifu ili wakaendelee kuzini.

Pia katika uislamu,yule uliezini nae huruhusiwi kuona nae ila mtakapo tubu kikweli. Na mkatengana kwa muda wa mwaka mmoja.

Wakati wa kufunga ndoa kunahitajika ridhaa ya muoaji na muolewaji. Yeyote atakayelazimishwa kati yao, itakuwa ndoa hiyo ni batili.
Ukitazama ndoa ya mkeka muoaji huwa analazimishwa.

Pia hutakiwa walii. Huyu ndio humuozesha binti. Na si shekh.

Ukifuatilia hayo kwa uchache utagundua kwamba hiyo ndoa ya mkeka ni utapeli na si ndoa sahihi
Asante sana mkuu umenipa somo kubwa nililokuwa nalitaka. Nimejifunza kitu
 
Naona unanitafuta ugonvi jiepushe na mimi kabisa.Wewe unajua badala ya kuchangia unaniquote,subiri jioni utanikuta nimekuja kumtembelea mamaako,Ndio utapima DNA ujua babaako ni nani
Kumbe JF kuna mapunguani samahani kaka sikujua kama ndo uko njiani unapelekwa Milembe
 
Tokea nikiwa mdogo nimekuwa niksikia kuhusu uzi ndoa za mkeka, na niliambiwa hizi ufungishwa kwa razima pale unapofumaniwa na binti wa watu basi unawekwa chini ya ulinzi na shekhe anaitwa na ndoa inafungwa, uwe unataka au hutaki!

Binafsi nimekuwa nikipinga jambo hili na ninajiuliza ni muda gani hati za ndoa upatikana ghlafla ivi? Na je? Tangazo la ndoa linakuwa limetoka?

Je akitokea muweka pingamizi atasikilizwa? Na mwanaume akiamua kukataa atafanywa nini pale?

Vipi kuhusu wazazi wa mwanaume, hawana haki yakumfumania binti na kijana wao wakawapiga pingu za maisha?

Kwenye sheria za ndoa ndoa hii ni batili lakini nashangaa bado serikali haitaki kuzipiga marufuku kabisa maana vibinti vya uswahilini vinavizia vijana wenye mwelekeo, vinajitongozesha nakujileta geto, kumbe vimeshaandaa wajomba, mashangazi mpaka mababu. Tazama sheria ya ndoa hapa chini!
******************
MAANA YA NDOA
Kwa mujibu wa kifungu cha 9(1), cha Sheria ya Ndoa, sura ya 29
ya sheria za Tanzania, ndoa ni muungano wa hiari kati ya
mwanaume na mwanamke unaokusudiwa kudumu kwa muda wa
maisha yao yote.
Hata hivyo, muungano huo ili uweze kukamilika kisheria ni lazima
mambo ya msingi yafuatayo yazingatiwe, nayo ni:

2.1 Hiari
Kifungu cha 16 kinaeleza kuwa muungano huo lazima uwe wa hiari.
Udanganyifu au ulaghai, kurubuniwa kwa aina yoyote unafanya
muungano usiwe wa hiari. Kama itathibitika kwamba hakukuwa na
hiari basi muungano huo hauwezi kufikia hadhi ya kuwa ndoa.
Watoto wa kike kuchaguliwa wanaume na wazazi/walezi wao au
ndoa zinazoitwa za mkeka si ndoa kwa mujibu wa sheria hii ya ndoa.
...baada ya kufumaniwa, walikutwa wanatiana kwa kulazimishwa au kwa hiari yao !?
 
Katika ukristo hakuna uchafu huu.
Katika Uislaam hakuna kuendekeza uzinifu, kwani tumeambia uzinifu ni uchafu na tusiukaribie.
Sasa waache wamdate dadako na waendelee kumtia kwa chipsi kuku !
 
Back
Top Bottom