Chris14
JF-Expert Member
- Oct 2, 2017
- 3,076
- 2,186
Nimecheka sana [emoji23] [emoji23] [emoji23] , aisee...mkuu hizi ndoa nasikia wanakujaga na mapanga,mikuki na sime! usiposema I DO! kimojawapo kinakuhusu
Nimecheka sana [emoji23] [emoji23] [emoji23] , aisee...mkuu hizi ndoa nasikia wanakujaga na mapanga,mikuki na sime! usiposema I DO! kimojawapo kinakuhusu
Ulithibitishaje watoto wanafunga ndoa?kwa hiyo usafi ni kuzini miaka 20 ndio ufunge ndoa?ukizini na mwanamke ukikamatwa naye unatakiwa umuoe kwa sababu tendo la ndoa ni kwa wanandoa tu.Hongereni kwa usafi wenzetu wakuruhusu Zinaa.Mimi nashangaa?hapana sishangai,niliwahi kuona ndoa ya kinaswara huwa kuna vitoto vidogo vinatangulia mbele wakati wa kwenda ukumbini,nikagundua ni watoto wao wanaofunga ndoa.Nashangaa huu usafi watoto wanashuhudia ndoa ya wazazi wao?wao wamezaliwaje?kwa zinaa?Huo ndio usafi wenu?Tafakari
Watoto hawafungi ndoa mkuu,wanashuhudia wazazi wao wakifunga ndoa.Vile Vitoto pale mbele vinavyotangulia sijui mnaviitaje mimi>Unakuta ni vitoto vya wanandoa.Ulithibitishaje watoto wanafunga ndoa?
Siyo wote mkuu huwa ni watoto wa wawanandoa, japo kuna wakati wengine waliozaa kabla ya ndoa huwa wao.Watoto hawafungi ndoa mkuu,wanashuhudia wazazi wao wakifunga ndoa.Vile Vitoto pale mbele vinavyotangulia sijui mnaviitaje mimi>Unakuta ni vitoto vya wanandoa.
Ni kweli mkuu naunga mkono.Siyo wote mkuu huwa ni watoto wa wawanandoa, japo kuna wakati wengine waliozaa kabla ya ndoa huwa wao.
Tokea nikiwa mdogo nimekuwa niksikia kuhusu uzi ndoa za mkeka, na niliambiwa hizi ufungishwa kwa razima pale unapofumaniwa na binti wa watu basi unawekwa chini ya ulinzi na shekhe anaitwa na ndoa inafungwa, uwe unataka au hutaki!
Ni jambo la kila Mmoja kufuata taratibu zake.Wa mkeka inawezekana akaoa wakaondokana na dhambi ya uzinifu.aliezini miaka ishirini akabariki uzinifu watoto wake watakuwa mashahidi Wa uzinifu huo Siku ya hukumu
Shukrani mkuu umeelewa lengo langu. Mimi ni mkristo lakini nawaheshimu sana ndugu zangu waislam maana hata kwenye familia yangu wapo.Yaelekea dini hizi mbili zina tafsiri ya mambo, taratibu,kanuni na sheria zinazotofautiana sana kila moja kwa mtazamo wake! Sio vizuri kuanza kuparurana na kutukaniana dini sababu ya mitazamo na tafsiri zetu za mambo. Kama itawapendeza wachangiaji wote natoa rai tuijadili ndoa ya mkeka kwa mtazamo wa tamaduni za makabila yetu kitu ambacho hakitaleta ugomvi bali utani tu. Vinginevyo hapa kuna watu wanatafuta tu sababu ya kutukana dini za wenzao huku pia wakitukanisha dini zao!
Hatima ya ndoa hizi nina ushuhuda uwa ni mateso na kutelekezwaWewe kama unapenda slope kula dada za watu utapigwa kitu cha mkeka tu
Tukibaki kwenye mantiki hatutokosanaHuu uzi unakoenda utaleta uhasama wa kidini.. Bora ufutwe tu
Hahahaha,.duh mmemezeshwa hovyo.kwa hiyo usafi ni kuzini miaka 20 ndio ufunge ndoa?ukizini na mwanamke ukikamatwa naye unatakiwa umuoe kwa sababu tendo la ndoa ni kwa wanandoa tu.Hongereni kwa usafi wenzetu wakuruhusu Zinaa.Mimi nashangaa?hapana sishangai,niliwahi kuona ndoa ya kinaswara huwa kuna vitoto vidogo vinatangulia mbele wakati wa kwenda ukumbini,nikagundua ni watoto wa wanaofunga ndoa.Nashangaa huu usafi watoto wanashuhudia ndoa ya wazazi wao?wao wamezaliwaje?kwa zinaa?Huo ndio usafi wenu?Tafakari
Ulianza kwa kuelewa akina Nani wanafungisha za mkeka kabla hujakata Kona,hatukutukani mkuu...na katika uislamu uchafu wa zinaa hauruhusiw kama huko kwenu....ndo maana inatokea kitu hicho kama umekutwa
"Utakuta"!!!Watoto hawafungi ndoa mkuu,wanashuhudia wazazi wao wakifunga ndoa.Vile Vitoto pale mbele vinavyotangulia sijui mnaviitaje mimi>Unakuta ni vitoto vya wanandoa.
Ukatae?Jamani msingi wa hoja yangu siyo dini, msingi ni uhalari kisheria, nilitaka kujua nikikataa inakuwaje? Please msiingize dini plz
Hakuna wa kukutukana kwani hata upande huu hakuna kitu kama hicho.Katika ukristo hakuna uchafu huu.
Wanao wale wengine.
(Sikia wanavyokuja kunitukana)
Kwani huko uzinzi umeruhusiwa?Katika ukristo hakuna uchafu huu.
Wanao wale wengine.
(Sikia wanavyokuja kunitukana)
sio madrasa mkuu...ni makanisani usijifiche ...madrasa haijawahi kufungwa ndoa ya jinsia moja....ila makanisani imefanyika....nadhani hata viongoz wa kanisa kubwa kuliko yote walipata kashfa ya kuwaingilia watoto lkn kiongoz mkuu aliwasamehe(msinitukane ingieni google kwanza mpate ukweli)Kweli kaka, yaani madrasa kule waliotakiwa kua viongozi wa kuwafundisha watoto wanawaingilia kwa nyuma,
Na wazazi wanaficha ujinga huu eti kids wataichafua dini,,Kisha wanaamua kumaliza chini kwa chini.
Huku Ni kufika mbali nakubaliana nawe.