Bandiwe
JF-Expert Member
- Oct 19, 2013
- 9,530
- 3,556
Watu wanapofumaniwa huwa wanacheza kidari po !?Jadili mada iliowekwa.
Kuna sehemu imeongelewa kuzini.!?
Watu wanapofumaniwa huwa wanacheza kidari po !?Jadili mada iliowekwa.
Kuna sehemu imeongelewa kuzini.!?
.....kama ni manafunzi ni miaka 30 jela !Jamani msingi wa hoja yangu siyo dini, msingi ni uhalari kisheria, nilitaka kujua nikikataa inakuwaje? Please msiingize dini plz
...na ndio maana nyingine zina kila dalili ya muoaji kutegwa !Asante sana mkuu umenipa somo kubwa nililokuwa nalitaka. Nimejifunza kitu
Katika Uislam napo hakuna ndoa ya hivyo kisheria, ndoa ikifungishwa kama mmoja hajaridhia hakuna ndoa hapoKatika ukristo hakuna uchafu huu.
Nimekaa milembe miaka 7Kumbe JF kuna mapunguani samahani kaka sikujua kama ndo uko njiani unapelekwa Milembe
Kaongelea Kwan mpaka unafumaniwa unakuwa unaziniJadili mada iliowekwa.
Kuna sehemu imeongelewa kuzini.!?
Muda wote huo hujapona mpaka unarudishwa!Nimekaa milembe miaka 7
Nilipona ndio maana niko humu JFIn
Muda wote huo hujapona mpaka unarudishwa!
Eti nasikia huwa zinadumu sanamkuu hizi ndoa nasikia wanakujaga na mapanga,mikuki na sime! usiposema I DO! kimojawapo kinakuhusu
Bora ata Mimi awe dada (maana sina)Katika Uislaam hakuna kuendekeza uzinifu, kwani tumeambia uzinifu ni uchafu na tusiukaribie.
Sasa waache wamdate dadako na waendelee kumtia kwa chipsi kuku !
Kanisani ndoa za jinsia moja zimebarikiwa na maaskofu wanaolewa !Bora ata Mimi awe dada (maana sina)
Wewe mdogo wako wa kiume huko madrasa oustadhi anajifunulia.
Maaskofu,Kanisani ndoa za jinsia moja zimebarikiwa na maaskofu wanaolewa !View attachment 622552
Kasome vizuri sheria ya ndoa sio kudanganya watuMamlaka za Ndoa zipo mbili tu 1 Ndoa ya kimila 2 Ndoa ya serekali. Unapozungumzia Ndoa ya mkeka hiyo ni ya kimila haipo saerekalini hata sheria zake hazihusishi. Ndoa ya serekali ndio inatumia sheria ya nchi na inawapa dhamana ya kufungisha Ndoa hizo wachungaji /mashehe cheti cha Ndoa hutolewa na serekali tu hakuna Mamlaka nyingine kwa tz
Unaweza nisaidia kwa kifupi wewe sio lazima nikasome kipi nimepindisha ndio maana ya mada kuwa humu jfKasome vizuri sheria ya ndoa sio kudanganya watu