kamandawasua
JF-Expert Member
- Jun 6, 2013
- 326
- 86
Kama nawe unanufaika na hali hii ya SISIEMU basi hongera ila kama nawe ni Kipande cha GOGO lililooza basi POLE SIMBILISI mdogo.Chadema muweke mbuzi mara ngapi. Halafu tumeshawashtukia mnata mzee wa watu mumuue kwa presha ili mrithi mali zake. Hafi ng'o mpaka amuone rais wa awamu ya tano ambaye si mwingine bali ni Dkt. John P. Joseph Magufuli. Hao mbuzi wenu mnaowataka tafuteni mchinje mle kwani ndo jadi yenu na mkafanye matambiko mlivyozoea.