Mr.Junior
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 13,100
- 12,119
Ndoto uliyoota leo afu ukaamkia JF itakupasua kichwa jua likitoka.Mama Samia huyu huyu aliyeahidi kilimo cha umwagiliaji cha ubuyu?
wewe umeambiwa kama unabisha subiri.
Ndoto uliyoota leo afu ukaamkia JF itakupasua kichwa jua likitoka.Mama Samia huyu huyu aliyeahidi kilimo cha umwagiliaji cha ubuyu?
Watanzania kama kuna mtu anafikiria kuwa Lowassa kushika dola asahau waswahili wanasema ivi iliko bahari ndiko mito iendako, hii inatokana na chama tawala kucheza vizuri kwenye safu ya ushambuliji na ulinzi mama Samia Suluhu kawamaliza wapinzani ni mtu atakayeipatia CCM kura nyingi mno unabisha subiri.
Awe mara ngapi sasa rais wa Tanzania kana unabisha tuwekeane nyumba kwa nyumba
Watanzania kama kuna mtu anafikiria kuwa Lowassa kushika dola asahau waswahili wanasema ivi iliko bahari ndiko mito iendako, hii inatokana na chama tawala kucheza vizuri kwenye safu ya ushambuliji na ulinzi mama Samia Suluhu kawamaliza wapinzani ni mtu atakayeipatia CCM kura nyingi mno unabisha subiri.
Ungeomba Tako Kwa Tako Mkuu Ili Ujibandulie Zako Tu.
Sasa kama mnalijua hilo kampeni za nn? Si mngesubiri tu mkamuapishe Rais wenu? Ila ukweli ni kwamba unaonekana umeshajikatia tamaa. Kwa wale Wakristo 25/10 ni siku yakuabudu. Kabla misa ya kwanza haijatoka makanisani tayari ccm wameshagaragazwa na UKAWA. Hilo hata yule mwanao analijua hakuna ubishi tuombe uzima.Watanzania kama kuna mtu anafikiria kuwa Lowassa kushika dola asahau waswahili wanasema ivi iliko bahari ndiko mito iendako, hii inatokana na chama tawala kucheza vizuri kwenye safu ya ushambuliji na ulinzi mama Samia Suluhu kawamaliza wapinzani ni mtu atakayeipatia CCM kura nyingi mno unabisha subiri.
Sehemu yeyote ambapo matokeo yanaamuliwa kwa kupiga kura huwezi mshinda Lowassa hata JK,Mkapa,Mwinyi,Kinana na wote uwajuao wanlijua hiloTatizo la wana ukawa ni wagimu kuelewa na wepesi kusahau. Hivi mnakumbuka juzi mtu huyo Lowassa alipata wadhamini laki nane na zaidi wakati waliokuwa wakihitajika ni 450 tu. Je mbona aliangukia pua kwenye chama chake ambacho alisema mwenyewe kuwa hawezi kuhama. Hivyo vikosi unavyoviona vya Maskini Mzee huyo ni vya kusaka noti. Si unajua wengi wao wanomkubali wanatoka wapi. Mtu kama Mbatia ambaye ni mtu aliyekuwa anaaminika kuwa mzalendo, mpenda maendeleo lakini angalia alivyogeuka ghafla na kumsifia lowassa. Aisifue mvua, imemnyea. Kwa hiyo na hawa jamaa wanamsifia jamaa yao kwani amewajaza vitu. Akaunti zao zimetuna.
mmmh..ya kweli hayo mkuuKwa ilivyo figisu figisu zinazoendelea kweli hawezi shika dola ya nchi mpaka saiv kuna video ya Slaa imevuja akiwa na anakabidhiwa mkwanja wake ndani ya Serena hotel ZnZ na wafanyakazi
nakuonea huruma mdogo wangu.