Wanaofikiria Lowassa ataingia ikulu wanaumwa

Wanaofikiria Lowassa ataingia ikulu wanaumwa

Mleta mada wewe kula mpunga wa ccm..wadanganye wajinga.
Hii nchi ccm haina hatimiliki.
Lowassa Rais.
 
watanzania kama kuna mtu anafikiria kuwa lowassa kushika dola asahau waswahili wanasema ivi iliko bahari ndiko mito iendako, hii inatokana na chama tawala kucheza vizuri kwenye safu ya ushambuliji na ulinzi mama samia suluhu kawamaliza wapinzani ni mtu atakayeipatia ccm kura nyingi mno unabisha subiri.

We ndio unaumwa
 
hata nikute mavi kwenye karatasi ya kura,nitayapigia kura kuliko kuipigia ccm
 
Huyu mleta post ndiye atakayekuwa mgonjwa! Tena ana tezi dume!!!
 
watanzania kama kuna mtu anafikiria kuwa lowassa kushika dola asahau waswahili wanasema ivi iliko bahari ndiko mito iendako, hii inatokana na chama tawala kucheza vizuri kwenye safu ya ushambuliji na ulinzi mama samia suluhu kawamaliza wapinzani ni mtu atakayeipatia ccm kura nyingi mno unabisha subiri.

YOU CHEAT YOURSELF!
PITA MITAANI FANYA TATHINI HATA KWA WANA CCM WENYEWE!!
ii
 
Alioanzisha hii mada lazima atakuwa na mtindio wa ubongo ama la basi akili za misukule....kama mpaka sasa hivi hujasoma Alana za nyakati basi inawezelana ulizaliwa na mtindio wa ubongo.... Lowassa ndio habari ya mjini taka usitake....na ndio Rais wako wa awamu ya 5....
 
Kwa ilivyo figisu figisu zinazoendelea kweli hawezi shika dola ya nchi mpaka saiv kuna video ya Slaa imevuja akiwa na anakabidhiwa mkwanja wake ndani ya Serena hotel ZnZ na wafanyakazi

mkuu ni kweli? Kama unayo nitumie whatsapp ndg 0714084215
 
Kama hawez kuingia Ikulu.Na nyie wehu mnamjua atakae ingia;UCHAGUZI WA NN SASA?.
Mbona mnatapa tapa?.Mfano ku-copy slogani za wanamabadiliko?.
Mfano
LOWASA---Mabadiliko
Mkakopi
Maku.......Mabadiliko
M4C
Mkakopi
Maku...4C

Acheni kuja na concluding statements
SUBIRINI WA-TZ TUAMUE kwa kuraaa
 
attachment.php

Hahaa haha hapa kazi tu.. mnalo mwaka huu
 
Asipoingia mwaka huu na uchaguzi Tanzania utakuwa hauna maana!! Kwani watu wote wanajua lowasa ndiye rais hata magufuli anajua!! Lakini tarehe na ifike tuwathibitishie!! Ccm wenzangu tushikamane KWA ukweli kuwa magufuli peke yake hawezi kuibadili system iliyozoeleka ndani ya ccm , wala huyo msaidizi WA sita ktk kuhujumu ktb ya wtz!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom