Alioanzisha hii mada lazima atakuwa na mtindio wa ubongo ama la basi akili za misukule....kama mpaka sasa hivi hujasoma Alana za nyakati basi inawezelana ulizaliwa na mtindio wa ubongo.... Lowassa ndio habari ya mjini taka usitake....na ndio Rais wako wa awamu ya 5....
Watanzania kama kuna mtu anafikiria kuwa Lowassa kushika dola asahau waswahili wanasema ivi iliko bahari ndiko mito iendako, hii inatokana na chama tawala kucheza vizuri kwenye safu ya ushambuliji na ulinzi mama Samia Suluhu kawamaliza wapinzani ni mtu atakayeipatia CCM kura nyingi mno unabisha subiri.
wewe nadhani hujui lolote kuhusu siasa.
Watanzania kama kuna mtu anafikiria kuwa Lowassa kushika dola asahau waswahili wanasema ivi iliko bahari ndiko mito iendako, hii inatokana na chama tawala kucheza vizuri kwenye safu ya ushambuliji na ulinzi mama Samia Suluhu kawamaliza wapinzani ni mtu atakayeipatia CCM kura nyingi mno unabisha subiri.
Mbele kwa mbele kwa kutufanya malofa???mtaona mwaka huu.Waambiee hao wasioelewaaa CCM MBELE KWA MBELEEEEEEEEEEEE
kitengo cha IT masaki kipo kazini
Ndoto uliyoota leo afu ukaamkia JF itakupasua kichwa jua likitoka.Mama Samia huyu huyu aliyeahidi kilimo cha umwagiliaji cha ubuyu?
Tanzania ina madini ya chuma tutaweza vuna miaka milioni 200[/QUOT. Heheheheh!!!!! Yale madini makubwa makubwa tutawapa wakubwa .........
hata nikute mavi kwenye karatasi ya kura,nitayapigia kura kuliko kuipigia ccm