Aibuuu,walewavu mnao siku zote why sasakwa propaganda hizo mnaprove failure...maana niliona picha akiwatunza wasanii wa kundi la fataki watu wakasema anatoa hongo! hivi inahusiana kweli? kuna kijana mlemavu alimpa pesa...washabiki wa UKAWA povu likawatoka kuwa anatoa hongo!
tukumbuke kuwa mgombea mwenza ni mwanamke, na wote tunajua kuwa akina mama wana huruma hivyo huo ni msaada tu!!! Kama hampati bado picha, jitahidini kutembea walau muende zanzibar...mtajua kuwa unavyomsaidia masikini you don't expect something in return! only blessin/ thawabu...
Aibuuu,walewavu mnao siku zote why sasa
Fikra PEVU unamaana gani mwana jf. Usije ukawa unamaanisha mataira.Watu wenye fikra pevu wanafahamu Lowassa hawezi kuwa Rais wa Tanzania.
Watanzania kama kuna mtu anafikiria kuwa Lowassa kushika dola asahau waswahili wanasema ivi iliko bahari ndiko mito iendako, hii inatokana na chama tawala kucheza vizuri kwenye safu ya ushambuliji na ulinzi mama Samia Suluhu kawamaliza wapinzani ni mtu atakayeipatia CCM kura nyingi mno unabisha subiri.
Na iwe hivyokatu hatuongozwi na mwanamke.
Ndugu wewe utakuwa unamatatizo makubwa.Na kwasababu jamaa ana degree ya sanaa atawashika sana wasioweza kuchakata vichwa vyao vizuri...maana mara kapanda daladala, mara katembelea tandale! kweli siasa ni uigizaji...CCM waliyaona hayo ndiyo maana hakupewa, watu watoke mikoani mwao wakampelekea hela kijijini kwake monduli ya kuchukulia fomu urais...is it possible? wakati walikuwa wanapigiana cm..."mtanikuta nawasubiri hapa kijijini kwangu na msisahau kuja na waandishi wa habari"
Mkuu umenena vyema. Huyu mzee naye anajua kuwa hawezikwenda Ikulu ya Magogoni labda ya Monduli. Yeye sasa anachofanya ni kurudisha kiaina fedha alizojilimbikizia ili aone kama Mungu atamsamehe asikose vyote yaani Urais na Mbingu. Hata wapambe wake wanajua kuwa hawezi kupita ila wanashrehekea kutafuna pesa zake.:lalala:😎Watanzania kama kuna mtu anafikiria kuwa Lowassa kushika dola asahau waswahili wanasema ivi iliko bahari ndiko mito iendako, hii inatokana na chama tawala kucheza vizuri kwenye safu ya ushambuliji na ulinzi mama Samia Suluhu kawamaliza wapinzani ni mtu atakayeipatia CCM kura nyingi mno unabisha subiri.
Watanzania kama kuna mtu anafikiria kuwa Lowassa kushika dola asahau waswahili wanasema ivi iliko bahari ndiko mito iendako, hii inatokana na chama tawala kucheza vizuri kwenye safu ya ushambuliji na ulinzi mama Samia Suluhu kawamaliza wapinzani ni mtu atakayeipatia CCM kura nyingi mno unabisha subiri.
Chadema muweke mbuzi mara ngapi. Halafu tumeshawashtukia mnata mzee wa watu mumuue kwa presha ili mrithi mali zake. Hafi ng'o mpaka amuone rais wa awamu ya tano ambaye si mwingine bali ni Dkt. John P. Joseph Magufuli. Hao mbuzi wenu mnaowataka tafuteni mchinje mle kwani ndo jadi yenu na mkafanye matambiko mlivyozoea.Ndugu wewe utakuwa unamatatizo makubwa.
Hata kama chadema wakimweka mbuzi awe mgombea tutamchagua mbuzi ilimradi ccm wasishinde tena
Tatizo la wana ukawa ni wagimu kuelewa na wepesi kusahau. Hivi mnakumbuka juzi mtu huyo Lowassa alipata wadhamini laki nane na zaidi wakati waliokuwa wakihitajika ni 450 tu. Je mbona aliangukia pua kwenye chama chake ambacho alisema mwenyewe kuwa hawezi kuhama. Hivyo vikosi unavyoviona vya Maskini Mzee huyo ni vya kusaka noti. Si unajua wengi wao wanomkubali wanatoka wapi. Mtu kama Mbatia ambaye ni mtu aliyekuwa anaaminika kuwa mzalendo, mpenda maendeleo lakini angalia alivyogeuka ghafla na kumsifia lowassa. Aisifue mvua, imemnyea. Kwa hiyo na hawa jamaa wanamsifia jamaa yao kwani amewajaza vitu. Akaunti zao zimetuna.Lowasa ana vikosi vya kampeni vya hatareee sana kajipanga mno nilichoshuhudia juzijuzi hapa jijini kwa kweli kama hii timu ipo Tanzania nzima basi Magufuli ameshashindwa.Jamaa kajipanga sanaaa tena mno
kama wewe ndie uliyeiumba Tanzania ni sawa unavyosema, lakini kama sivyo..bora unyamaze usitukane bure!Watanzania kama kuna mtu anafikiria kuwa Lowassa kushika dola asahau waswahili wanasema ivi iliko bahari ndiko mito iendako, hii inatokana na chama tawala kucheza vizuri kwenye safu ya ushambuliji na ulinzi mama Samia Suluhu kawamaliza wapinzani ni mtu atakayeipatia CCM kura nyingi mno unabisha subiri.