Wanaofanya 'Pranks' wameidhinishwa na nani?

Jul 11, 2020
64
139
Katika ulimwengu wa tafiti ni kawaida kwa baadhi ya experimental researches kuwa na matendo ambayo yana-disturb fikra za subject, kwa kuzingatia ethics huwa wanapoandaa paper wanaweka namna ambayo watadhibiti ile mental disturbance inayosababishwa katika test husika.

Baadhi ya researchs hukataliwa mapema kama zinaenda kusababisha madhara kwa subjects.

Hata hivyo kwa sasa, kuna tv programs ambapo watu hufanyiwa 'Pranks' ambazo zina-disturb mental well-being na hakuna kitu kinaendelea baada ya kufanya vitu hivyo.

Ni maoni yangu TV Programs zinazofanya matukio haya ziseme kama wanafanya mambo hayo kama experiment ya kutest a particular problem, na kama ni tafiti wanafanyaje kuhakikisha wanaowafanyia hawapati athari za muda mrefu za matukio hayo.

NB: Tuandelea kutoa ushauri kuhusu tafiti. Kwa ushauri wasiliana nasi researchsolutiontz@gmail.com
 
Nadhani kuna utaratibu wa kuridhia kama hiyo "prank" uliyofanyiwa iruke hewani ama la..sijui sheria inasemaje katika hili..
 
We ngoja siku wajichanganye wanikute tayari nishavurugika na harakati zangu. Nitampiga mtu ndosi zaidi ile ya ZIZZOU kwa MATERAZI
1652812722519.png
 
Back
Top Bottom