TANMO
Platinum Member
- Apr 12, 2008
- 12,214
- 13,058
Habari za week end wana jf, wanaume wengi wanalalamika hawaja wahi kutoa bikra, nimekuwa na bahati kupata marafiki zangu wa ke wenye bikra zao toka tupo chuo, ila wanamisimamo yao hadi ndoa ndipo atakuachia hazina.
Jamaa wengi walidate nao lakini walishindwa uvumilivu wakasepa.
km unataka ni pm nitakuunganisha nao. Ni vimwana vya kichagga. Angalizo uwe tayari kufuata masharti ie hadi ndoa.
Na nikishamuoa nikakosa hiyo Bikra atanifidia gharama zangu pamoja na usumbufu?
Manake itahitaji kusainishana mikataba kabisa kwa maslahi ya pande zote mbili.