Wanangu wa Mbeya

Narmy

Member
Apr 2, 2018
31
29
Mention au post sehemu yeyote uliyopo Mbeya au ulipowahi kuwepo tuweke kumbukumbu humu asee
Mimi naanza na isyesye
IMG_20200929_131454.jpg
 
Wanangu wa Uyole japo kwa miaka mingi nimetoka Mbeya kwa ajili ya ugali ila huko ndiyo kwa kupumzika baada ya maisha ya duniani.
 
Back
Top Bottom