Charles1990
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 256
- 66
- Thread starter
- #61
Charles unaanza na ku.......aaaaahhhhh tulia ndugu mambo bado kabisa. Na uache ukabila wewe
Mwenyewe nimejishtukia.ukabila sina,mi ni mutu ya watu.
Charles unaanza na ku.......aaaaahhhhh tulia ndugu mambo bado kabisa. Na uache ukabila wewe
dawa za kichaa nilisahau nikamwachia mama yako kule green guest house juzi.hajakwambia?
ivi dawa zako za ukichaa umemaliza??i guess not.....
Charles ..hapa si mahali pako tafuta pengine.chapa mwendo na mambo yako ya ukabila
Nyerere alituhimiza tuulizane makabila kama tunataka kutaniana lkn kwa mambo mengine tuwepamoja. Tafakuri busara za babu uone mwisho utakavyokua mbaya tusipozingatia hilo.
thanks.Najiskia nyumbani sasa.Tuko pamoja mkuu mgeni anajua chumbani kuna vitanda vingapi ?.Huyu mwenyeji kabisa hakuna haja ya kumkaribisha ajiudumie mwenyewe.
karibu sana