Wanandoa wengi hawapendani

Wanandoa wengi hawapendani

Wanaishi pamoja kama kawaida lakini wamechokana, mama anatamani baba afe ili arithi mali, baba anatamani mama afe ili aoe dogodogo. Halafu mbaya zaidi wanaombeana vifo vya ghafla na kuugua kwa muda mfupi.

Yaliyomo moyoni yangejiandika usoni tungeshuhudia mengi ya ajabu mno.

Mwanamke Akiwa Wa Kwanza Kuomba Sexx, Kuna Mambo Matatu

Moja, Huenda Kazama Mapenzini

Mbili, Huenda Yupo Kwenye Ovulation

Tatu, Ametoka Kusexx Na Mtu Mwingine Anataka Kukuuzia Mimba Kwa Bei Ya Jioni.

Ni Hayo Tu 😎🤔
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom