Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,035
- 828,827
Kweli kabisa! Sijuwi hata tulioana kwa sababu gani?!Wanaishi pamoja kama kawaida lakini wamechokana, mama anatamani baba afe ili arithi mali, baba anatamani mama afe ili aoe dogodogo. Halafu mbaya zaidi wanaombeana vifo vya ghafla na kuugua kwa muda mfupi.
Yaliyomo moyoni yangejiandika usoni tungeshuhudia mengi ya ajabu mno.
Na kwa nini mwanaume aoe mwanamke asiemridhia ina maana yeye hana akili wala maamuzi yake binafsi?? Shida ipo kwa wote wawili na si mwanamke pekeeTatizo wanawake wengi walilazimisha ndoa kwa hila kwa kutegesha mimba na wengine kwa kuroga au vyote viwili.
Sex sio kipimo cha kupenda kwa mwanaume.
Sex kwa kwa sumę ni kama kula chakula, njaa ikomuuma Ana węża kula Chakula chochote anachoweza kukupata kwa wakati huo, lakini Haina maana kiwa hicho Chakula ndicho akipendacho zaidi.
Sasa kwa Bahati mbaya wanawake wengi wakitongozwa na Wanaume huzani wamependwa na kuanza kufanya hila na janja za kumshawishi
Mwanaume kuoa.
Imeandikwa; “ enyi binti Sayuni msiyachochee Mapenzi hadi yenyewe yatakapoona kufaa”
Sasa wakifika ndoani mwanaume moyo Haupo kabisa kwa mkewe.
Uko kwingineeee 👌👌👌
Vema huyo mke akajua kiwa mtii kwa mumewe lakini akiwa mbishi na mjeuri ndio anaharibu kabisaaa.
Na saingine mwanaume anaweza kumwambia “ hivi ilokuwaje nikakuoa? “
“ uliniroga wewe sio bure”
Mimi sio wa kuoa Mwanamke jeuri na kibiri kama wewe.
Ndoa Zina mambo
Kwa hivyo kumbe wengi wanaringia ndoa ambazo wanaume wao hawajawapenda kwa dhati🥲 hili nalo ni tatizo..Halafu bahati mbaya ni kuwa wanawake wengi waloolewa huzani wanapendwa
Na Wanaume zao kumbe ni kinyume chake.
Laiti wangejua ukweli na uhalisia kuwa hawapendwi labda ingesaidia wanawake
Kuanza kuwa watii na kuwaheshimu Wanaume zao kama ilivyoandikwa.
Aisee acha tubaki nje kwanza😱Ni zaidi ya tatizo.. Ni kansa