Wanandoa wanapochokana.

Ndibalema

JF-Expert Member
Apr 26, 2008
10,956
4,648
265132_173095016086379_111189025610312_480326_7427205_n.jpg




263017_170621659667048_111189025610312_470978_3145787_n.jpg



185666_143386849057196_111189025610312_283224_3879270_n.jpg
 
Kwa maana hiyo tunaochokwa ni wanawake tu! ngoja nitafute za wanaume
 
Kwa nini wanasubiri mpaka kufikia huko?
Mkichokana na kama hakuna kurudi nyuma, kila mmoja aelekee upande wake, salama u salimini.
 
Yaani hiyo ya tatu (ya kisu) ndo sijaielewa kabisaa...... yaani wamechokana siku ya kufunga ndoa........... OMG
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom