Wanandoa wanapochokana.

Wanandoa wanapochokana.

Khaaaa!kwan mwenye kuchokwa ni mwanamke tu!usiombe akuchoke mwanamke hatatumia silaha za kuua live ila unaweza ukanyweshwa hata chai ya mkojo bila kujua!
 
ya mwisho inaonyesha hawa jamaa walikuwa wanabariki ndoa na sio wanafunga ndoa. maana wamechokana na kinachofuata ni kutimiza maisha yatakavyo.
 
Back
Top Bottom