Jethro
JF-Expert Member
- Mar 23, 2009
- 2,219
- 370
Wana JF,
Last week kipindi cha Jahazi - Clouds FM walitangaza au walisema kuwa wanandoa wanao tembea nje ya ndoa zao kwa wanaume ni 70%(hutoka nje ya ndoa) na kwa wanawake ni 60%(hutoka nje ya ndoa), kwa utafiti huo kwa wanandoa/na ambao hamja ingia kwenye ndoa mnakubaliana na huo utafiti au muna mawazo/mtazamo tofauti?
My Take:
Utafiti huo una ukweli, kwangu me naamini hivyo.