Wanandoa wanaotembea nje ya ndoa zao (wanaume 70% & wanawake 60%)

any way kikubwa tukumbuke tulipoanguka tukatubu na tumkabidhi maisha yetu Mwenyezi Mungu yote haya tutayakwepa lakini tusipo badilika tunaangamia kwa ukimwi hakuna atakaye baki
<br />
<br />
Na mwisho wa siku kutupwa gehenna.
 
wangeanza na utafiti wa umasikini na umbumbumbu wa viongozi wetu....

kama walikosa kazi ya kufanya........

nani ana lala na nani sio jambo la muhimu saana kama watu hao ni watu wazima na hakuna sheria zinazovunjwa

uko sahihi THE BOSS!!!jamaa huwa hawana kazi za kufanya zaidi ya kudhulumu wasanii na kuongea ishu za kipumbavu....kuna ishu nyingi nzito na zenye tija kwa taifa zinazohitaji utafiti!!
 
Hizi tafiti wakati mwingine zinakera sana..Inakuwa kama kipima joto cha ITV...Yaani bila kueleza umechukuaje sample size na idada ya wahusika..ni upuuzi kueleza % tu halafu ukaanza kufanya majumuisho mepesi mepesi!

Ukweli kwamba wanandoa wanachakachua uko wazi kwani kuna ushahidi wa kutosha na usiopingika kuonesha hilo, mfano idada ya watu wenye VVU na marrital status zao!! Hata hivyo siyo vizuri kuja na % za kuokoteza mtaani katika issue nzito kama hizi!
 
Back
Top Bottom