rubii
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 14,106
- 18,713
hivi hilo kabati unaloongelea ni la aina gani..kwa mfano kama una kijichumba cha kuweka nguo na kimegawanywa makabati ya ukutani mawili..lake na lako...huo muingilianao unatokea wapi?....kutatua tatizo hili ni kujenga chumba maalumu kwa ajili ya kutunzia nguo.
wenzetu wazungu walishaliona hilo na kutafuta suluhisho la kudumu....tuwaige kwa haya machache mazuri.
hakuna hata haja ya chumba, kama kapange inakuaje?? Anunue la milango6 wajinafasi wote