Dena Amsi
R I P
- Aug 17, 2010
- 13,080
- 4,275
Ha ha ha nimecheka sana yaani we umeona nguo tu bado viatu na handbags mpaka unatamani saa nyingine ugaweeee vyote wakija ndugu unagawa then week hiyohiyo unanunua handbags nne, viatu pea tano nguo ndio usiseme ngoma inarudi palepale ha ha yaani nimecheka sana aisee