BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,217
Huu uzi kila nikipita najikuta kutabasamu tu.....
Mkuu umenifurahisha sana aisee inaelekea wewe ni mhanga wa aisee kwa jinsi unavyojibu
ha ha haha ila sisi wanawake bwana kama wachokozi wa asili .. usipokuwa na hekima unaweza mbonda
Mungu aizid kuwatia nguvu aisee ...Acha tu ndugu yangu, busara ni kuvumiliana na kuendelea kuelinishana tu.
Hili nalo ni la kujadiliwa humu kweli?
Mimi nlidhani ni wife pekee. mwanzo tuligawana partitions akavamia zangu na kuhamia kabati la chumba cha wageni. kuna begi lina vitenge vina 5 years hagawi anasema atashona. nkiwa na hela nyumba ya pili lazima iwe na walk in closet. huu uzi umenifungua sana
Unajua komenti nyingine sio nzuri?????
Maana nina sanduku lina vitenge kadhaa na juzi nimeongezea vingine....nikiambiwa nivishone naona fundi ataniharibia
Hahaha........
Mimi nlidhani ni wife pekee. mwanzo tuligawana partitions akavamia zangu na kuhamia kabati la chumba cha wageni. kuna begi lina vitenge vina 5 years hagawi anasema atashona. nkiwa na hela nyumba ya pili lazima iwe na walk in closet. huu uzi umenifungua sana
Hili nalo ni la kujadiliwa humu kweli?
hili nalo ni la JF?
Hapo ndiyo utajuwa kumbe wife wako anamiliki 'duka', maana hiyo kitu itajazwa fasta mpaka ushangae.
Hapo unauwezo wa kununua bundle + unamiliki smartphone.
Chumba na sebule watoto wako wanalala wapi?
Mwanaume jiongeze.
hili nalo ni la JF?