Wanandoa kupima HIV baada ya kurudi toka safari

Tuko

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
11,178
7,320
Kwa faida ya wewe mwenyewe, watoto wako, mwenzio na familia yako kwa ujumla. Inashauriwa kuwa inapotokea wanandoa wametengana kwa mmoja wao kusafiri kwa kipindi cha angalau miezi mitatu, then akirudi wapime kwanza HIV. Naomba nilisisitize hili. mtu asiniulize kwanini maana mnaona wenyewe dunia ya sasa ilivyobadilika, na athari za gonjwa hili.
 
Kuna mbaba flani alifungwa miaka miwili kurudi akamwambia mkewe tukapime manake huko gerezani walikuwepo wagonjwa madonda nje nje kumbe hii ilikuwa janja ya nyani as jamaa alijasema alishangaa kumkuta mkewe amekonda kuliko yeye aliyekuwa jela.
 
ni mchezo tu kama ule wa cheni ya bandia na pesa feki.........................
 
Kwa faida ya wewe mwenyewe, watoto wako, mwenzio na familia yako kwa ujumla. Inashauriwa kuwa inapotokea wanandoa wametengana kwa mmoja wao kusafiri kwa kipindi cha angalau miezi mitatu, then akirudi wapime kwanza HIV. Naomba nilisisitize hili. mtu asiniulize kwanini maana mnaona wenyewe dunia ya sasa ilivyobadilika, na athari za gonjwa hili.

I don't necessarily think it's a bad idea.
 
Kwani kuukwaa lazima awe amesafiri? Kama ni hivyo nafikiri sasa ni vyema vibuniwe vipimo ambavyo vitafungwa kama Camera kwenye mlango wa kuingia chumbani then ukiwa umeathirika tu alarm inalia.Ni kweli wanaosafiri safiri sana wako hatarini lakini wasiosafiri wanchakachua kwa sana tu sasa si mtawaonea hawa wanaosafiri na kujidanganya ninyi msiosafiri for a long time kuwa mpo salama? Kwakuwa kipimo hiko hakipo bac kila mmoja aelewe hali ni mbaya na maisha hayana mbadala hivyo...... Akili Kichwani.....
 
Nakubaliana nawe pia. Kwa vile hamna jinsi mimi naona ni bora tu mtu uponde raha zako. Maisha yenyewe mafupi haya.

Watu wanachiti popote pale. Sasa kujiaminisha tu kuwa mtu anaweza kuchiti akiwa safarini wakati hata akiwa hayuko safarini anaweza fanya hivyo si kutumia akili.

You can't put anything past anybody. Zamani nilidhani wadada huwaga hawachiti kumbe waongo. Wote wa kaka kwa wadada wanachiti kwa kasi sawa.

Kwa hiyo mpango mzima ni kuponda raha tu. Kwa nini tuogope kufa bana? Si wote tunaelekea huko huko kwenye mauti tu. Shoooot!!!!!!!!
 
Hivi HIV inaabukizwa kwa miezi mitatu?Kwa nini isiwe muda wowote kabla ya kukutana kimwili? Mtu anaweza kutoka home asubuhi mzima lakini akirudi jioni kesha ambukizwa! Kudeal na HIV ndani ya ndoa ni ngumu sana (kwa sasa hivi)....zaidi ya kubadili tabia zetu.
 
sidhani kuwa mbali na mwenza ndo kigezo cha kutoka au kuwa na mahusiano zaidi ... hii ni tabia na hulka ya mtu hata kama kila dakika mko nae anaweza kufanya atakalo kwa dk 5 ni nyingi sana kwa fisadi wa mapenzi
 
inachagiza kutoka acha unafki
 
sidhani kuwa mbali na mwenza ndo kigezo cha kutoka au kuwa na mahusiano zaidi ... hii ni tabia na hulka ya mtu hata kama kila dakika mko nae anaweza kufanya atakalo kwa dk 5 ni nyingi sana kwa fisadi wa mapenzi

Kweli kabisa. Kuna rafiki yangu juzi kanipa kisanga cha wafanyakazi wenzake wawili. Walibambwa wanatiana kazini kwenye choo. Walijisahau na kuacha kuloki mlango. Halafu wote wana wenza (spouses) nyumbani. Wote wawili walifukuzwa kazi.

Sasa hebu fikiria hapo. Lisingebumbuluka wote wawili wangerudi nyumbani na kuendelea na ishu kama vila hakuna lolote baya walilowafanyia wenza wao.
 
Wawe wanapima hata kama hamna aliyesafiri.
Mama akitoka sokoni na baba kazini wanaongozana angaza!!!

Ila hii ya kusema mtu katoka safari mnawahi kwanza kupima wakati kama mlikua mmekosana kila mmoja anakua na hamu na mwenzie.Alafu msubirie miezi mitatu ipitie mkahakikishe...kama mmoja wenu sio mvumilivu anaweza kuukwaa ndani ya hiyo miezi mitatu.
 
maisha ya sasa,bora uwe single tu.hamu ikikujia unatafuta vya plastic,unajipa raha mwenyewe
 
Huo muda na mai waifu wangu hatuna...! Kwanza nikitoka au akitoka safari ni full Nyegezi tunavamiana kwa huba na pupa ya mapenzi kwa raha zetu. Pili binafsi napenda-ga style ya kudunduliza tui! Siku tui likipata chungu inakuwa tika-tika yani tui bubu! Mambo ya kupima tutakutoa mkuku!
 
SI wote wanapata ukimwi safarini na nina imani wengi wanaupata huku wameacha wenza home. Ila nakubaliana na hoja kwa sababu moja; wanaume ni weak sana sasa akisafiri say a year, si miezi mitatu afu huko safarni mtu akajirengesha hata awe mgumu kama ubao atachapa tu. Mi nkirudi hakuu kupima kwaaanja. Kama ni noma na iwe noma.
 
Back
Top Bottom