Tuko
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 11,178
- 7,319
Kwa faida ya wewe mwenyewe, watoto wako, mwenzio na familia yako kwa ujumla. Inashauriwa kuwa inapotokea wanandoa wametengana kwa mmoja wao kusafiri kwa kipindi cha angalau miezi mitatu, then akirudi wapime kwanza HIV. Naomba nilisisitize hili. mtu asiniulize kwanini maana mnaona wenyewe dunia ya sasa ilivyobadilika, na athari za gonjwa hili.