Nono
JF-Expert Member
- Feb 11, 2008
- 1,536
- 643
Niliposoma kichwa cha habari kilinifanya niamini kuwa:
Kuna mtafiti kakaa chini na kufanya taathmini kabla na kufikia uamuzi wa kufanya utafiti wenye viwango. Utafiti wenye kushirikisha sampuli wakilishi ya Watanzania wenye uelewa na uwezo wa kushiriki kupiga kura, na wanaotoka sehemu mbalimbali za kila kona ya nchii hii.
Cha kusikitisha, ni mtu kukaa nyuma ya keybord na kuandika yale anayodhani kuwa yatafurahisha kundi analoliwakilisha.
Kibaya wala haweki bayana kuwa anamaslahi kati andishi lake (Does not declere conflict of interest).
Huu ni ujinga (studid)!