Uwezo Tunao
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 6,942
- 1,190
Ndugu Siraji, ni hizi hizi propaganda za 'bembeleza mwana' huko CCM ambazo kwa miaka yote hiyo hatimaye imetufikisha hapa ambapo taifa letu Tanzania hivi sasa linaugua ovyo kutoka na maradhi hayo hayo ya:
(i) Uongo bila mipaka,
(ii) Rushwa kama kazi,
(iii) Madawa ya kulevya kuchuuzya mitaani kama mchichaa,
(iv) CCM kugeuka dini nchini na viongozi wake kuwa Mungu Watu;
halafu wewe bado wajifarijisha tu na vipande vile vile huku ukidhania kwa Mtanzania wa leo bado ni yule yule wa miaka ya 47 huko nyuma.
CHADEMA, vita mbele kwa mbele; fanyeni na zaidi KAZI TULIOWATUMA. Na bila kuchelewesha kitu napenda niwapongeze sana CHADEMA kwa mabadiliko makubwa ya kimfumo ambayo hadi sasa mnailetea taifa letu.
Uzalendo mbeeeeele kama tai lakini katika kweli na kweli tupu na kwa maslahi ya walalahoi tuliowengi.