Ushahidi wa hili ni katika kupiga kura kwakuwa ni tendo la hiyari na halina kutafutana, hawapigi kura kabisaa na hawana fikra hizo za kupiga kura kwa hiyar yao wenyewe ndio maana
Ikiwa hakuta kuwa na kura za kupika zitakazo wekwa na wasimamizi wa vituo kwenye masanduku ya kupigia kura kama ilivyo zoeleka , amini amini nawaambia asilimia ya watakao jitokeza kupiga kura kihalali kabisa bila shuruti wala mikwala haita zidi 30% ya wananchi wote nchi nzima walio takiwa kupiga kura ikiwa takwimu zitachukuliwa.