Wananchi wana maarifa mengi kuliko mamlaka?

yaani uropokaji ndio maarifa?
that's nonsense gentleman πŸ’
 
yaani uropokaji ndio maarifa?
that's nonsense gentleman πŸ’
🀣🀣🀣🀣🀣
Kwao, kwakuwa tu anayeropokewa ni Samia au anaofanya nao kazi, basi uropokaji huo huonekana ni ushujaa na busara za Hali ya juu. Mungu aendelee kuwalaani hawa watu wenye hila flani Kali sana ndani ya mioyo yao waendelee kushindwa Leo, jeshok keshokutwa, mtondogoo na hata milele.
 
Tulishasema siku nyingi tukabezwa, serikali haitaki kuboresha elimu kwasababu ya hofu kuwa wananchi wakielimika basi viongozi mbumbumbu hawataweza kuwatawala ndiyo maana hivi sasa wako busy kununua PhD ili kuinua status huku vichwani wakiwa watupu.

Kwa nyakati hizi mambo ya kutumia mabavu yamepitwa na wakati, kinachoendesha dunia ni teknolojia, hao wanaotumwa na wakubwa kutenda uovu ni kama wanatembea gizani ila ipo siku kila kitu kitaanikwa
 
Wenye akili hawana ajira, wajinga ndio wako madarakani
 
Haya, hiki ni nini kama sio shambulio la makusudi na la hatari kwa utu wa mtu?!!! Tunatangaziwa huyu ndo amemteka mdude kwa ushahidi upi aliouweka?!!! Au Wana maugomvi yao ameamua amharibie kupitia Huku?!!!! Mtu kama huyu anayetafuta ugomvi binafsi na watu kwa sifa tu ya kuungwa mkono na kupigiwa makofi na nyumbu, hususani wa jf, akipyambyika basi ilaumiwe serikali?!!!!! Ahsante Mungu sina mamlaka, naona dhahiri Kuna ungese ungese flani ningeumaliza kinamna yake kweli kweli......kama Duterte vile!!!!!
 
🀣🀣🀣🀣
Nyumbu bwana ukiwakuta kwenye hoja zao.........haya, hongereni kwa kuelimika.
 
Kajitokeza kwa utashi wake au kwa shinikizo la waumini waliokerwa na ukimya wake?
Ndo maana mbowe yupo kimya, anajua unyumbu wa walipokuwa nyumbu wake; ukiongea shida, ukikaa kimya shida!
 
Mkuu kuna mzee huko Mbeya amemtaja, tafuta kuna uzi humu wenye video kabisa na hata wao polisi hawajakanusha kwakuwa aliwapelekea taarifa in advance
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…