Nigeria: Mahakama yatupilia mbali pingamizi la Ushindi wa Rais Bola Tinubu

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,024
1,618
Baada ya hukumu ya takriban saa 10, Majaji wa Mahakama ya Rufaa nchini Nigeria, waliamua kuwa madai ya Wapinzani Atiku Abubakar wa Peoples Democratic Party na Peter Obi wa Labour Party kuwa Uchaguzi ulitawaliwa na Udanganyifu hayakuwa na mashiko

Licha ya Matokeo ya Uchaguzi huo wa Februari 25, 2023, kupingwa Mahakamani Rais BolaTinubu aliapishwa rasmi Mei 29 2023

Uchaguzi huo unatajwa kuwa wenye ushindani mkali zaidi tangu kumalizika kwa utawala wa Kijeshi Mwaka 1999, ambapo Tinubu alishinda kwa 37% ya kura zilizopigwa, dhidi ya 29% za Abubakar na 25% za Obi


............



Election tribunal rejects Nigeria presidential election challenge


Bola Tinubu was not in the country when the verdict was announced

Nigeria's Appeal Court has rejected challenges to Bola Tinubu's narrow victory in February's presidential election.

After an almost 10-hour verdict, judges said the petitions by his two main challengers were without merit.

Both Atiku Abubakar of the Peoples Democratic Party and Peter Obi of the Labour Party had alleged widespread fraud.

Despite the election challenge, Mr Tinubu was sworn into office on 29 May.

The election was the most fiercely contested since the end of military rule in 1999, with three strong candidates for the first time. Mr Tinubu won with 37% of votes cast, against 29% for Mr Abubakar and 25% for Mr Obi.

Source: BBC
 
Back
Top Bottom