Wananchi wa Igunga nao wameamua kuua!

Wadanganyika tunaelekea wapi? inakuwaje m2 una akili japo sina uhakika kama ni timamu kushabikia kuuliwa kwa Mwl. kwa tuhuma za kuiba Simenti. Nashawishika kuwa kuna baadhi ya wachangiaji au waleta mada hapa JF uwezo wao wa kufikiri na kutafakari hauna tofauti na wale ndugu zetu pale Mirembe Dom. Kiukweli nauchukia UFISADI,WIZI na mambo kama hayo lakini haiingii akilini kufurahia m2 kuuwawa kwa tuhuma za WIZI tena wa mfuko wa siment? Mbona ww mleta mada haujawachinja mafisadi papa, bali unajitia kidedea kwa kifo cha Mwl, ambao wengi tunafahamu jinsi wanateseka kwa madai ya posho na malimbikizo ya madeni yao. Utajisikiaje ukikuta au kufahamu kuwa uhendamarehemu Mwl nae alikuwa akiidai Serikali yako vijisenti vyake na akaamua kama noma acha iwe noma nikiulizwa nitajitetea kuwa ni bonafide claim of right?
 
CCM imeshafundisha watu wa Igunga kuuwa, hii damu yote ipo mikononi mwa CCM na hasa Mkapa, Makama na Nape.
 
Jamani huyu mtu si alifungiwa??? kamfisadi nani hadi akafunguliwa? akya nani anastahili kupigwa mawe na moto kama huyo fisadi mwenza wa igunga.

inategemea alipigwa ban ya muda gani. Ukishamwona anaflow, ujue yupo huru
 
Too sad jamani! Mungu awape faraja mke na watoto wa marehemu.Hali ngumu ya maisha ya waalimu ndio iliyopelekea haya.
 
Watu wengine nawashangaa kabisa!
Alipoiba cement ina maana hakuna jengo lingejengwa na hivyo kusababisha watoto wetu kukosa haki ya kusoma na kupata elimu kunakopelekea hali mbaya ya uchumi! Hali mbaya kiuchumi inasababisha watu kushindwa kumudu matatizo mbalimbali ikiwemo ya kiafya. Kwa kukosa pesa kwa sababu ya kukosa elimu kulikosababisha ukosefu wa elimu mgonjwa anakosa dawa na hivyo kufa kwa kukosa dawa. Kwa hiyo yeye kuua sawa kwa sababu si direct?
Acheni hizo hii ndo dawa yao kwani wakipelekwa mahakamani wanashinda na hakuna chochote wanaadhibiwa! We angalia eti liyumba kwa wizi wooote ule anafungwa miaka m2?
Unategemea nini sasa hapo?
Aaaaaaghrrrrrr!
QUOTE=Gwallo;2661608]Siungi mkono ukatili huo wa watu kujichukulia sheria mkononi kama ambavyo haikuwa sawa kwetu kwa watu wetu kuuawa Igunga basi hata hili si sahihi. Naona watu wangu CDM mnaanza vibaya kwa kushabikia mauaji haya ya ukatili si vema. Usishangilie kuuawa kwa mwanadamu mwenzako bali. Siasa si uadui wa mpaka kushaingilia mtu kuuawa kwa kuwa si wa chama chako NO!!!!!!!!!![/QUOTE]
 
Ualimu, ualimu, ualimu, nawasikitikia sana, sana walimu wote hasa walioko bush. Mazingira ya kazi ni magumu kulogwa nje nje still wanauwawa kwa kupigwa na mawe na kuchomwa moto. Hili halivumiliki. R.I.P mwalimu.
 
Nakiri kuwa mimi si muumini wa ufisadi. Nachukia ufisadi. Nawachukia mafisadi.

Hatuwezi baki salama kama tutaruhusu kuuana kinyama.

Kwanini tuamue kuana wakati sheria zipo wazi na zinajieleza.

Nawalaani wote walioshiriki ktk huu unyama. Mungu ailaze roho ya Marehemu mahali panapostahili. Amen!

Inasikitisha saaana, inauma saaana, Kweli mungu ailaze roho ya marehemu mahalipema peponi. Turudi kwenye fikra sahihi sasa na tusilaumiane tena ila tusitibu dalili za maradhi bali root cause. Kwanza sheria zipo wazi lakini ni kweli kuwa zinaposhindwa kusimamiwa/enforced zinabaki kuwa just a piece of paper, tulishuhudia magereza yakitengenezwa kwa ari mpya mpaka leo hatujui nani kafungwa humo, Miaka ya 80 Dar mauaji ya wezi kama Komando yosso yalianza baada ya kuwa wakipelekwa polisi baada ya siku chache wanatoka and revenge, tunashuhudia mafisadi wakiiba na kutandikiwa red carpet, tunashuhudia maisha yakizidi kuwa magumu huku tukitawaliwa kwa nguvu, tunashuhudia wizi wa kura na dhuluma, tunashuhudia wizi mkubwa huku wezi wa kuku wakifungwa na kuuwawa, sukari juu, mafuta juu, dowans, vifo vya maalbino, dhulma zidi ya wapenda haki wizi wa kura, watoto wa mitaani etc, etc lakini pia wizi wa mali za umma unaowafanya watanzania kubumwaki maskini na watumwa wa ukoloni wa mtu mweusi. Yote haya hayatapita bure bali yanatufundisha kitu fulani pengine sio kizuri kwa jamii yupo mwana falsafa aliwahi kusema "KWA MUDA MREFU JAMII ITAENDELEA KUUANA WENYEWE KWA WENYEWE MPAKA PALE, MPAKA PALE ITAKAPOZINDUKA NA KUMTAMBUA ADUI WAO NA KUMGEUKIA NDIPO ITAPOPATA UFUNBUZI WA KWELI WA MAGUMU YAO" Hili ndilo tunaroshuhudia sasa haya sio matokeo ya kubahatisha ni malezi tunayopata toka kwa ccm na serikali yake, watu wanakufa, watu watakufa na wataendelea kufa hata kama vipi cha msingi tufike mahali tuelewe na badala ya kuua maskini hawa tugeuke na kuanza kuwashambulia na kuua hawa mafisadi tena kwa kuwashambulia vivi hivi ndipo kisika chetu kijae maji ya neema na wote tupate ustawi.

Vinginevyo tutaishia busara za kijima, tunapaswa kusikitikia hilo vilevile vibaka wanapouawa na hatupaswi kuwatandikia red carpet mafisadi, hawa nadio wanaopelekea maisha magumu ya wananchi mpaka wanadokoa, kwani wanachukua sheha kubwa ya keki ya taifa kwa wizi mkubwa - ZINDUKA CHUKUA HATUA KAMA SERIKALI INASHINDWA PEOPLES POWER ITACHUKUA MKONDO WAKE SASA TUWATAFUTE MAFISADI NA TUUE, TUWAACHE VIBAKA NA WADOKOZI KAMA HAWA......
 
Even though I don't tolerate corrupt officials I still also don't approve people who take law into their arms. Our laws have made it clear that a subject is innocent till proven otherwise guilty by legal authorities. Consequently, I totally denounce the brutal killing of the so 'dishonesty' official and I call upon the government to seize and bring all the slayers to justice. My heart is with his bereaved wife, children and other relatives. May GOD rest his SOUL in eternal peace.

kwahiyo baada ya kumuua wameipata hiyo haki? Halafu hawajui kuwa dhambi ya kuua mtu huwa haisamehewi na Mungu? Hao wakifa ni motoni tu
JF Senior Expert Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Join Date : 15th April 2011
Posts : 1,866

Rep Power : 24

icon1.png
Re: Dr. wa kweli Mwakyembe yuko fiti sasa.........................?
He is just on respite but he can't escape fatal effects of Pollonium. The peculiar feature of radioactive material is their ability to destroy body cells slowly before causing body death. God has acted so deferently to award him hiatus to allow him confess his evils and thereby absolved to have a room in God's kingdom.​

  • huu ni upuuzi mwakyembe kuuwa kwa sumu ni sawa na unashangilia lakini kwa mwalimu mkuu ni kinyume sheria mkononi,
    nilishahacha kujibu post zako lakini kwa mwendo huu na thubutu kusema mawazo yako yameolewa na mtu au kuna mtu analawiti fikra zako mkuu, wewe sio mtu unapepea tu kama bendera una ugonjwa mkubwa unakusumbua
  • https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/183133-dr-mwakyembe-yuko-fit-sasa.html jisome hapo unavyoongea na unavyokuja kuongea huku , nyie ndio watetezi wa chama magamba kweli zama na umakini zimekwesha huko magamba, raia wanawasoma mpaka vivuli vyenu dondosha vimessage vyako hamu mwisho wako sio mbali kuandika huu utumbo huo ukombozi umefika

Even though I don't tolerate corrupt officials I still also don't approve people who take law into their arms. Our laws have made it clear that a subject is innocent till proven otherwise guilty by legal authorities. Consequently, I totally denounce the brutal killing of the so 'dishonesty' official and I call upon the government to seize and bring all the slayers to justice. My heart is with his bereaved wife, children and other relatives. May GOD rest his SOUL in eternal peace.

Tangu nikufahamu sijawai kuona unaongea maneno yenye busara kama leo,na nadhani utakuja kuongea maneno haya tena..ninapinga unyama huu kwa binadamu mwenzetu,na ninapinga kila aina ya unyama unaofanywa na mtu yoyote kwa binadamu yoyote awe wa CDM au CCM au chama chochote...ufisadi wa mtu upingwe kwa hoja na njia nyingine yoyote na sio kuua...Na naomba watu wasiunganishe mauaji haya na CDM au chama chochote cha siasa,ichukuliwe kama uhalifu unaofanywa na watu wengi wanapokosa uvumilivu....
 
Wananchi wa Igunga, Kata ya Mwashiku katika Kijiji cha Mwashiku, wakiwa bado na hasira ya kudhulumiwa haki yao ya kupiga kura, kuuawa kinyama kwa wenzao na wengine wakipotea mpaka leo hawajulikani walipo.

Jana J'pili saa 4 asubuhi, walimkamata Mwalimi Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Mwashiku Bw. Medard Labozi, walimfunga kamba, wakampiga mawe, kisha wakamchoma moto akiwa hai. Alipiga kelele za kutisha hadi alipokata roho, mwili wake uliteketea hadi kubaki majivu.

Kosa lake ni kukamatwa akiiba saruji ya ujenzi wa sekondari hiyo. Wakati wakifanya ukatili huo, wananchi hao walisikika wakisema, "Kura mtuibie, Wenzetu Muwaue, hata Jasho letu pia Mtuibie?

Hii ndiyo dawa yenu Mafisadi wakubwa, na huyo Mkurugenzi Magayane nae tunamtafutia timing tumfanye hivihivi!"
hiki si kitu cha kushabikia hata siku moja............. hakuna mwenye haki ya kutoa roho ya mtu mwingine kwa namna yoyote ile

unayeunga mkono binadamu mwenzako kuuwawa kwa sababu za kisiasa ni mpumbavu kabisa!!! wanasiasa wenyewe wamerudi dar na wanakula nyama choma pamoja (chadema, ccm na mke wa CCM yaani kafu), nyie mnasapoti mauaji jamani??

i am disappointed
 
Wananchi wa Igunga, Kata ya Mwashiku katika Kijiji cha Mwashiku, wakiwa bado na hasira ya kudhulumiwa haki yao ya kupiga kura, kuuawa kinyama kwa wenzao na wengine wakipotea mpaka leo hawajulikani walipo.

Jana J'pili saa 4 asubuhi, walimkamata Mwalimi Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Mwashiku Bw. Medard Labozi, walimfunga kamba, wakampiga mawe, kisha wakamchoma moto akiwa hai. Alipiga kelele za kutisha hadi alipokata roho, mwili wake uliteketea hadi kubaki majivu.

Kosa lake ni kukamatwa akiiba saruji ya ujenzi wa sekondari hiyo. Wakati wakifanya ukatili huo, wananchi hao walisikika wakisema, "Kura mtuibie, Wenzetu Muwaue, hata Jasho letu pia Mtuibie?

Hii ndiyo dawa yenu Mafisadi wakubwa, na huyo Mkurugenzi Magayane nae tunamtafutia timing tumfanye hivihivi!"
Another spin. Hawa wananchi, wauaji, hawakusema kura tuibiwe. Walikuwa wanalia na saruji yao.
Kwamba mwaimu mkuu amekuwa akiwaibia, hakuna haja ya kuhusisha na siasa, hakuna siasa hapa.
 
Tangu nikufahamu sijawai kuona unaongea maneno yenye busara kama leo,na nadhani utakuja kuongea maneno haya tena..ninapinga unyama huu kwa binadamu mwenzetu,na ninapinga kila aina ya unyama unaofanywa na mtu yoyote kwa binadamu yoyote awe wa CDM au CCM au chama chochote...ufisadi wa mtu upingwe kwa hoja na njia nyingine yoyote na sio kuua...Na naomba watu wasiunganishe mauaji haya na CDM au chama chochote cha siasa,ichukuliwe kama uhalifu unaofanywa na watu wengi wanapokosa uvumilivu....

Mkuu jamaa yupo kifungo cha nje ndiyo maana anaonekana mnyonge kweli. Subiri ban iishe utashuhudia uharo kama kawaida.
 
Tangu nikufahamu sijawai kuona unaongea maneno yenye busara kama leo,na nadhani utakuja kuongea maneno haya tena..ninapinga unyama huu kwa binadamu mwenzetu,na ninapinga kila aina ya unyama unaofanywa na mtu yoyote kwa binadamu yoyote awe wa CDM au CCM au chama chochote...ufisadi wa mtu upingwe kwa hoja na njia nyingine yoyote na sio kuua...Na naomba watu wasiunganishe mauaji haya na CDM au chama chochote cha siasa,ichukuliwe kama uhalifu unaofanywa na watu wengi wanapokosa uvumilivu....

Kauli za wauaji wake zilisema "Kura mtuibie, Wenzetu Muwaue, hata Jasho letu pia Mtuibie? ccm mmeisha lianzisha kwa siasa zenu za matumbo mbele
 
  • huu ni upuuzi mwakyembe kuuwa kwa sumu ni sawa lakini kwa mwalimu mkuu ni sheria mkoni,
    nilisha hata kujibu post zako lakini kwa mwendo huu mawazo yako wameolewa na mtu, kuna mtu analawiti fikra zako mkuu
  • https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/183133-dr-mwakyembe-yuko-fit-sasa.html jisome hapo unavyoongea na unavyokuja kuongea huku , nyie ndio watetezi wa chama magamba kina zama na umakini unazidi kuisha, raia wanawasoma mpaka vivuli vyenu kama hamna habari

umemjibu vizuri na kumpa reference. Asante sana.
 
kwahiyo baada ya kumuua wameipata hiyo haki? Halafu hawajui kuwa dhambi ya kuua mtu huwa haisamehewi na Mungu? Hao wakifa ni motoni tu

Ndugu yangu Mwita, hakuna mtu mwenye akili timamu atakayefurahia mauaji ya kinyama. Hata hivyo kuna kitu cha kujiuliza kwa nini haya yatokee hivyo na hii reaction ya wananchi ina maana gani kwa serikali yetu? Kifo ni kifo hata awe nani, lakini vifo vinavyotokea katika mazingira fulani serikali inakaa kimya na kutochukulia taratibu stahiki kama mauaji ya kutatanisha yaliyotokea hivi karibuni huko Igunga.
Haya yanayojiria serikali inahitaji kufanya tafakuri vinginevyo hali itazidi kuchafua.

Sheria za nchi hazijatungwa kwa ajili ya kuwadhalilisha baadhi ya watu na kuwatetea wengine, kama ile ya mbunge kupanda na trigger jukwaani na vyombo vya dola kutochukua sheria stahiki, je angekuwa kiongozi wa chama cha upinzani nini kingetokea? Ingekuwa dhambi ya mauti.
 
Ningekuwepo nisingeshiriki kurusha jiwe, japo nisingelia pia baada ya yeye kufa...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom