Wananchi wa Igunga nao wameamua kuua!

Wananchi wa Igunga nao wameamua kuua!

Hata maji kabla ya kuchemka yanakuwa ya baridi,moto ukikolea sana nayo huchemka hadi mchemshaji huyaogopa hata kuyagusa.
 
They must be mental retarded,nasikia aliyetoa wazo achomwe moto alikuwa na bifu naye,alikuwa anamsuspect anamchukulia red apple wake
 
Rwanda ilianza kwa vitu vidogo tu kama hivi baadaye mauaji ya haraiki. haya yote yanatokana na serikali legelege na tutarajie makumbwa mengine siku za usoni maana wapo watakuja na kisasi hapa ndipo watachinjana kijiji kizima, ingawa hatuombei hilo. so sad, watu sasa wanatembea wamekufa.
 
the way u post ur thread seems u are happy with the situation..,TAKING LIFE BY ANY CAUSE ISN'T FAIR ON POINT OF HUMANITY..,WE WONT PROGRESS BY LETTING OTHERS KILL OTHERS..,JUST COZ THEY STOLE FROM THEM...!
I m not happy at all, but much shaken by the Brutality, maybe I m not quite articulate in posting threads, but I m more disgusted by the inaction of state organs responsible for prevention of such acts, it started with the grissly murder of Masoud in Igunga town, a herdsman killed in Mbutu, 2 women killed in Nkinga and many more still missing, absolutely no action from the cops nor the Authorities, they only acted when the DC was manhandled and her veil dropped in the scuffle, and when a CCM youth was injured in the face with an acidic substance, even the Interior Minister, Mr Nahodha made a statement of stern measures, he even visited the victim. The public observes this and feels a sense of unfairness, hence the taking of the law in their own hands. It's not a right attitude since it could victimize innocent suspects, it's a resultant factor of an unfair and a failing state, if not properly taken care of, it could set a precedent to a countrywide uncontrollable chaos to the detriment of the nation as a whole.
 
I have felt "giters" running down my spine while reading this very sad news. It started with siphoning of public fund Funds through various means then came vote ridging all of which the public knew and couldn't do a thing. This is the sign that the "bomb" created is about to explode... Or has it started?
 
Sishabikii Mauaji ya namna hii kama ambavyo sishabikii watu wanaopinga mauaji kwa kuangalia nani kauawa na alikuwa upande upi!! Mauaji ni mauaji tu haijalishi nani ameua au nani kauawa. Serikali yetu imetufikisha hapa kwa kulea huu uovu hasa ule ambao unafanyika ndani ya mikono ya srikali, serikali imefumbia macho kwa hiyo wananchi wanapojichukulia sheria mkononi serikali haiwez kuwafanya chochote kwa 7bu na yenyewe inashiriki mauaji ya raia wake... Jikumbushe mauaji mangapi yamefanywa na polisi, polisi kuua mtuhumiwa haijalishi kafanya kosa kweli au lah haina tofauti na hawa wanaoua wenzao. Kuna sehem kama taifa tumekosea tukae tutafakari na tujirekebishe
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Nimeshtushwa na kushangazwa jinsi ulivyoandika kwa kufurahia tukio la mtu kumuua mwingine! Kila siku tunapigania adhabu ya kifo ifutwe, we unashangilia! Shame upon you.
 
Du japo napinga ufisadi lakini kuua ni hatua ngumu,embu Mungu atujalie hekima ya kudeal na wezi,
 
Well said Bro/Sis.

Newton new this many years ago and wrote "To every action there is always an equal and opposite reaction".
I m not happy at all, but much shaken by the Brutality, maybe I m not quite articulate in posting threads, but I m more disgusted by the inaction of state organs responsible for prevention of such acts, it started with the grissly murder of Masoud in Igunga town, a herdsman killed in Mbutu, 2 women killed in Nkinga and many more still missing, absolutely no action from the cops nor the Authorities, they only acted when the DC was manhandled and her veil dropped in the scuffle, and when a CCM youth was injured in the face with an acidic substance, even the Interior Minister, Mr Nahodha made a statement of stern measures, he even visited the victim. The public observes this and feels a sense of unfairness, hence the taking of the law in their own hands. It's not a right attitude since it could victimize innocent suspects, it's a resultant factor of an unfair and a failing state, if not properly taken care of, it could set a precedent to a countrywide uncontrollable chaos to the detriment of the nation as a whole.
 
Hakuna mwenye mamlaka ya kuua, halafu badae mkawapongeza.

Kwa hiyo wale polisi waliowapiga risasi Pro-CDM Arusha kwenye maandamano walikuwa na haki?
 
The true info from Igunga, mwl alikuwa anafuatilia wanafunzi watoro pamoja na ujenzi. Wazazi hawakufurahishwa naye
 
Even though I don't tolerate corrupt officials I still also don't approve people who take law into their arms. Our laws have made it clear that a subject is innocent till proven otherwise guilty by legal authorities. Consequently, I totally denounce the brutal killing of the so 'dishonesty' official and I call upon the government to seize and bring all the slayers to justice. My heart is with his bereaved wife, children and other relatives. May GOD rest his SOUL in eternal peace.

Is your position the same even for those brutally kidnapped and subsequently murdered by the CCM
Green guards?
 
In fact I don't support watu wanaojichukulia sheria mkononi. Sheria zipo kwa ajili ya wahalifu, hivyo kitendo cha kumtia adhabu mwalimu, hasa kuyapoteza maisha yake yananifanya nijiulize sababu za uwepo wa mahakama zetu kama watu wanaweza kufanya huu unyama. Siungi mkono uhalifu na ufisadi kwa nguvu zote, lakini pia siungi mkono kujichukulia sheria mkononi. Wananchi wamenena, wamesema walimu ndiyo waliochangia kupora haki ya wananchi wa Igunga, lakini njia waliyotumia siyo haki pia.
 
Ubabe Uzaa Ubabe,

Ewe Mwenye Dola Nchii Hii Rudi Kwetu Sisi Walalahoi Kuepusha Balaa Mbeleni Na Hasara Kwetu Na Kwako. Wakati Walalahoi Wanawindwa Wewe Unalindwa. Unawapa Walalahoi Uchungu Na Hasira Wanashindwa Kufanya Maamuzi Sahihi Na Ya Haki.

Ee Mola Ipumzishe Roho Ya Marehemu Pahala Pema Peponi. Wasamehe Walotekeleza Kifo Hicho
 
Even though I don't tolerate corrupt officials I still also don't approve people who take law into their arms. Our laws have made it clear that a subject is innocent till proven otherwise guilty by legal authorities. Consequently, I totally denounce the brutal killing of the so 'dishonesty' official and I call upon the government to seize and bring all the slayers to justice. My heart is with his bereaved wife, children and other relatives. May GOD rest his SOUL in eternal peace.

Jamani huyu mtu si alifungiwa??? kamfisadi nani hadi akafunguliwa? akya nani anastahili kupigwa mawe na moto kama huyo fisadi mwenza wa igunga.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom