ok. Hivi ni Dar au kote kote?
watagoma wachache. waalike na wenye pikipiki. maguta na baiskeli bila kuwasahau wa vibajaji
<br />Ni kote kwani wote ni watanzania na wanaongozwa na serikali hii ambayo inanuka uchafu<br />
<br />
Wote wanahusika waendesha bajaji pikipiki baiskeli na hata waenda kwa miguu kwani wote wanaongozwa serikali hii hii.
ujumbe huu si kwa watanzania ninaowafaham mm.watz
1.Ni waoga
2.Wazembe wa kufiri
3.Wanafanya maamuzi kinjaa njaa i.e mwenye hela ni tishio mpaka ikulu.
4.Hawajajua nguvu ya mitandao ya kijamii.
5.Akili zao zimefunikwa na magamba la chama
Kwa hyo ndugu yangu utaenda peke yako
that is done,nimeshahamasisha na wenzangu wote ofisini,bila kusahau na gesi pia imepanda bei, JK kubali umeshindwa