Wananchi tunaanza mgomo rasmi leo (PAKI GARI BARABARANI) kwa pamoja tunaweza kubadilisha nchi

Livanga

JF-Expert Member
Apr 15, 2010
469
148
wandugu naomba kuwataarifu kwamba leo tutaanza mgomo rasmi wa kuikataa serikali kwani imeshindwa kufanya maamuzi muhimu kwa taifa kama vile mafuta, umeme ufisadi na kero nyingine mbali mbali ambazo wanazijua wamefikishiwa bila majibu.

so leo ifikapo saa 11 jioni muda wa kutoka maofisini ukishaingia kwenye main road funga vioo vyako zima gari shuka kuashiria kuikataa serikali na kuishiwa mafuta. kumbuka huu ni wito kwa watanzania wote na tunaimani tuko pamoja kwa ni sasa tumechoka serikali isiyokuwa na maamuzi muhimu na magumu.


PAKI GARI HAPOHAPO KWENYE MAIL ROAD MARA BAADA YA KUINGIA KWA MAIROAD. WATANZANIA KWA PAMOJA TUNAWEZA
 
watagoma wachache. waalike na wenye pikipiki. maguta na baiskeli bila kuwasahau wa vibajaji
 
Haya sasa!! Unafiki wote umetufikia kwenye mifupa, lipi lingine tulilobakia nalo????????????
 
Niko morogoro mafuta hakuna, mabasi yanayotoka mikoani yamepaki. Nilitakiwa kurudi leo dar lakini mafuta hakuna vituo vyooooote. Aaaaaaaagh!
 
Ni kote kwani wote ni watanzania na wanaongozwa na serikali hii ambayo inanuka uchafu
ok. Hivi ni Dar au kote kote?

Wote wanahusika waendesha bajaji pikipiki baiskeli na hata waenda kwa miguu kwani wote wanaongozwa serikali hii hii.
watagoma wachache. waalike na wenye pikipiki. maguta na baiskeli bila kuwasahau wa vibajaji
 
naunga mkono hoja maana huu ni upuuzi mkubwa tunaofanyiwa nasisi tuko kimya tu kama mazoba!
 
Ni kote kwani wote ni watanzania na wanaongozwa na serikali hii ambayo inanuka uchafu<br />
<br />
Wote wanahusika waendesha bajaji pikipiki baiskeli na hata waenda kwa miguu kwani wote wanaongozwa serikali hii hii.
<br />
<br />
 
Kwapamoja tunaweza tukatae kuibiwa,kunyonywa,na kunyanyaswa kwenye nchi yetu, hima Watanzania tuamke tuikatae serikali
 
Jaji Makame, ni hapa ndipo ulipotufikisha mara baada ya kusaidia kukwapuliwa kwa kura zetu hapo mwaka jana. Natamani kukuona sura yako ulivyo kwa wakati huu ambapo taifa la Tainzania moja kwa moja tunaelekea shimoni kwa msaada wako wewe!!!!!!!!!
 
ujumbe huu si kwa watanzania ninaowafaham mm.watz
1.Ni waoga
2.Wazembe wa kufiri
3.Wanafanya maamuzi kinjaa njaa i.e mwenye hela ni tishio mpaka ikulu.
4.Hawajajua nguvu ya mitandao ya kijamii.
5.Akili zao zimefunikwa na magamba la chama
Kwa hyo ndugu yangu utaenda peke yako
 
hili siyo la kuleta mzaa peoples power ina nukia tz. Kama wauza mafuta wana goma kwanini na si wana nchi 2c fanye ivo.
 
Unachosema ni kweli lakini sio kwa sasa nimeona watanzania walivyochukizwa na hali halisi ya nchi yao nina imani sitakuwa mwenyewe mara ifikapo saa 11 leo jioni naomba na wewe ushiriki kuwafikishia na wengine ujumbe huu ambao sio wasomaji wa JF
ujumbe huu si kwa watanzania ninaowafaham mm.watz
1.Ni waoga
2.Wazembe wa kufiri
3.Wanafanya maamuzi kinjaa njaa i.e mwenye hela ni tishio mpaka ikulu.
4.Hawajajua nguvu ya mitandao ya kijamii.
5.Akili zao zimefunikwa na magamba la chama
Kwa hyo ndugu yangu utaenda peke yako
 
that is done,nimeshahamasisha na wenzangu wote ofisini,bila kusahau na gesi pia imepanda bei, JK kubali umeshindwa
 
Mbona sijaona akina kova na wenzake wakitoa tamko? Au nao waandishi hawana mafuta kuhudhuria press conference!
 
that is done,nimeshahamasisha na wenzangu wote ofisini,bila kusahau na gesi pia imepanda bei, JK kubali umeshindwa

Yaani bei ya gesi nimeiona leo kwenye gazeti sikuamini nikadhani ni mzaha haya maisha haya yatatufanya tukose kabisa hamu ya tendo yaani full ma stress
 
Kama serikali imeshindwa kuwachukulia hatua hawa wenye vituo vya mafuta, tutachukua sheria mkononi. Tutawakamata sisi wenyewe! Tunasubiri tamko la serikali ndani ya masaa sita, la sivyo moto utawaka. Tumejipanga!
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom