Wananchi kuwakataa Zitto Kabwe na Edward Lowassa

Status
Not open for further replies.
Hivi kati ya lowasa na kikwete nani anajua kiingereza angalau kumzidi mwenzake?
 
Kwa mipango ya chini chini, kununua magazeti, kununua watu JF forum na hata mamodereta wetu kufuta nyuzi zenye mashiko au kuchanganya nyuzi kwa lengo la kuwapoteza wananchi, hakika EL atakataliwa na wananchi iwapo atagombea ama kupitia CCM, ACT au TLP.

EL atakataliwa kama ambavyo Mrema, ZZK wanakataliwa na wananchi, watu hawa wanaharufu kali ya usaliti kwa umma.

Ukituhumiwa mambo ya UFISADI huwezi tena uje kuwa amri jeshi mkuu wa nchi, fisadi??? (kwa maneno yako ulijihuzuru kulinda CCM na serikali sio wananchi ndo maana hujaweza kusema ukweli wa mambo hado leo unalalamika tu, kama ulionewa sio sema ukweli once and for all) wananchi wa tz sio wajinga pesa wala, pilai kama Nape ala lakni kura kuchagua rais, hatuwezi mpa mtu kama EL.

Umekaa bungeni kimya miaka 8, huna hata haya. Ina maana hujaona suali ambalo serikali au mbunge mwenzako kalikosea?? bubu awe rais? au mbinafsi awe rais???

Nawasilisha
Usitake kuwapangia wanachi mtu wanayemtaka, kura ni siri na usidhani kuwa unaweza kumshawishi mtu kwa kile alichopanga akifanye, kuongea bungeni sio tija kuna wengi wanaongea pumba, lete vielelezo hapa jamvini sio majungu na chuki, nafikiri wewe umetumwa ila sauti yako haiwezi kufika popote kwani wenzio walishajiandaa siku nyingi. Eti fisadi lete USHAHIDI HAPA USILETE MAJUNGU NA UONGO !!
 
Pole sana Bavicha,ACT wazalendo kinatatafuta kula kwa 58% ya watanzania wasiojiandikisha,pia kama Cuf walivyosema wapo tayari kuungana na ACT wazalendo nyie Chadema hamtaki sasa watanzania wawaeleweje?Mnyika anadiriki kuongea mbele ya umma kuwa adui wao mkuu ni Zito,kweli ndo siasa hizi tunaelekea wapi,siasa sio vita siasa ni hoja na sera Chadema bado mna siasa za kizamani badilikine la sivyo mwaka huu mtatoka kapa

Kweli we hamnazo. Nani kakwambia act-wasaliti sio adui wa watz? yaani kunatofauti gani kati ya act-wasaliti naccm
 
Wewe mleta uzi kilaza sana sasa hapo kwenye heading yako ZZK wa nini? Hivi bavicha bila kumtaja ZZK mnajua Dj hatoi posho mpaka muandike jina lake, haya kachukue posho yako kwa kumchekesha mfalme
Baada ya ZZK kuwapa mkono wa kwaheri tena kiistaarabu wamechanganyikiwa wanaona jahazi linaelekea comoro baadala ya Kivukoni, wamepagawa ndiyo maana mara Zito mara Lowasa, hawana jipyaaa ngoja waonyeshwe mwaka huu majimbo yanavyowaponyoka
 
Kwa mipango ya chini chini, kununua magazeti, kununua watu JF forum na hata mamodereta wetu kufuta nyuzi zenye mashiko au kuchanganya nyuzi kwa lengo la kuwapoteza wananchi, hakika EL atakataliwa na wananchi iwapo atagombea ama kupitia CCM, ACT au TLP.

EL atakataliwa kama ambavyo Mrema, ZZK wanakataliwa na wananchi, watu hawa wanaharufu kali ya usaliti kwa umma.

Ukituhumiwa mambo ya UFISADI huwezi tena uje kuwa amri jeshi mkuu wa nchi, fisadi??? (kwa maneno yako ulijihuzuru kulinda CCM na serikali sio wananchi ndo maana hujaweza kusema ukweli wa mambo hado leo unalalamika tu, kama ulionewa sio sema ukweli once and for all) wananchi wa tz sio wajinga pesa wala, pilai kama Nape ala lakni kura kuchagua rais, hatuwezi mpa mtu kama EL.

Umekaa bungeni kimya miaka 8, huna hata haya. Ina maana hujaona suali ambalo serikali au mbunge mwenzako kalikosea?? bubu awe rais? au mbinafsi awe rais???

Nawasilisha
Hivi kweli kwa mtu mzima mwenye akili timamu
unaweza kupoteza muda kwa ajili ya Lowasa?
mie sipigi kura na Raisi hawi Lowasa.
 
Atueleza kwanza mwenye richmond na baadaye dowans ni nani na ali/meshafanya juhudi gani kuzuia huo uovu uliotendwa dhidi ya umma maskini wa tanzania.
 
bavicha bila kumtaja zitto mimba zitatoka,wameshakimbia majukwaa yote maana kila wakifungu simu zao wanakutana na act-wazalendo,wakiwasha tivi wanamkyta zitto radio ndio usiseme,walibaki wanategemea jf nako wamezidiwa hoja,sasa mpaka wanatia huruma kwa jinsi walivyokuwa wanyonye.

Wahurumueni wasije ugua presha.

zito ni msaliti. Alinunuliwa na lowasa pamoja na mwigulu ili kuiuwa chadema kwani kina nguvu sana na hakitamuacha apite kuwa rais kamwe. Jana kathibitisha hilo huko musoma. Kamwita mfadhili wake.
 
Lowassa hawezi kuingia ACT-WAZALENDO sababu sio muadilifu na mzalendo.

Kwa nini assingie wakati chama chenyewe
11012963_624063097695309_1130418270120985573_n.jpg
 
zito ni msaliti. Alinunuliwa na lowasa pamoja na mwigulu ili kuiuwa chadema kwani kina nguvu sana na hakitamuacha apite kuwa rais kamwe. Jana kathibitisha hilo huko musoma. Kamwita mfadhili wake.

Kamwita mfadhili wake wapi, kwenye kikao cha ndani? au nje
 
Hivi kweli kwa mtu mzima mwenye akili timamu
unaweza kupoteza muda kwa ajili ya Lowasa?
mie sipigi kura na Raisi hawi Lowasa.

Huyo atakuwa mtu mzima hovyo, yaani fisadi ukampigie kura, utakuwa umelelewa na mzazi mmoja mwenye tabia mbaya ambaye hakukufundisha kuwa wezi na wizi ni mbaya sana, iweje mwzi awe raisi???
 
mkuu unaongea sana lakin hujatueleza huyo mtu wako mwenye kukosa kasoro kama ulizotoa....

pole lakn hata wewe unajua mwizi hawezi kwenda ikulu kuishi kama rais, labda kama kuhojiwa na rais na kisha afikishwe mahakamani au vipI?
 
Usitake kuwapangia wanachi mtu wanayemtaka, kura ni siri na usidhani kuwa unaweza kumshawishi mtu kwa kile alichopanga akifanye, kuongea bungeni sio tija kuna wengi wanaongea pumba, lete vielelezo hapa jamvini sio majungu na chuki, nafikiri wewe umetumwa ila sauti yako haiwezi kufika popote kwani wenzio walishajiandaa siku nyingi. Eti fisadi lete USHAHIDI HAPA USILETE MAJUNGU NA UONGO !!

Nenda BUNGENI spika atakupa vielelezo, Nenda IKULU rais atakuwapa ushahidi wote aliojiridhisha nao, wewe huna kichwa nini?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom