JK tuondeshee hili fisadi, si ulijiridhisha kuwa liliiba baba, Ukamwamuru ajihuzuru, huyu ambaye BUnge lako liliona ni mtu wa kifisadi na rais kama taasis ukajiridhisha ameamka akaungana na kina mjenga, kigwangala sasa wanataka URAIS, hata AIBU JK HAWA WATU HAWANA
haa haa lowasa ndani ya ccm hakuna wa kumgusa. na anaweza teuliwa kuwa mgombea wa urais.
Na mwaka huu mtaendana sana pharmacy kununua panadol na madiclopar,EL ndo mpango mzima asiye taka ahame nchi
Ukawa ndo dudu gani kwanza? au ndo kile kikundi cha wazinzi akina mnyika waropokaji
Zitto anawajambisha Bavichaa!Mngekuwa mnauwezo wakumtoa roho mngekuwa mshatekeleza ila kwa bahat mbaya kisha waambia kuwa mkijaribu kama mlivyomfanyia marehemu chacha wangwe atateketeza mpaka panya wa ndani kwenu shenzi nyie.
Wewe mleta uzi kilaza sana sasa hapo kwenye heading yako ZZK wa nini? Hivi bavicha bila kumtaja ZZK mnajua Dj hatoi posho mpaka muandike jina lake, haya kachukue posho yako kwa kumchekesha mfalme
Bavicha bila kumtaja Zitto Mimba Zitatoka,wameshakimbia majukwaa yote maana kila wakifungu Simu zao wanakutana na ACT-Wazalendo,wakiwasha tivi wanamkyta Zitto Radio ndio usiseme,walibaki wanategemea JF nako wamezidiwa hoja,sasa mpaka wanatia huruma kwa jinsi walivyokuwa wanyonye.
wahurumueni wasije ugua presha.
Yaani nchi maskini namna hii karibu kila mtu ameshaguswa kwa namna moja au nyingine, kama sio wewe basi ndugu yako anakosa dawa hospitali, kama sio mwanao bc wa ndugu yako ndani ya familia anakosa elimu stahiki na matatizo lukuki kwenye nchi hii, ambayo kila mtu anajua jinsi chama Chao kilivyochangia kutufikisha hapa HALAFU VI JAMAA FULANI VINAKUBALI KUPEWA HELA KUVURUGA MAMBO NA KUCHELEWESHA UKOMBOZI HAKI MLAANIWE KABISA NYIE NA VIZAZI VYENU!
Kwa mipango ya chini chini, kununua magazeti, kununua watu JF forum na hata mamodereta wetu kufuta nyuzi zenye mashiko au kuchanganya nyuzi kwa lengo la kuwapoteza wananchi, hakika EL atakataliwa na wananchi iwapo atagombea ama kupitia CCM, ACT au TLP.
EL atakataliwa kama ambavyo Mrema, ZZK wanakataliwa na wananchi, watu hawa wanaharufu kali ya usaliti kwa umma.
Ukituhumiwa mambo ya UFISADI huwezi tena uje kuwa amri jeshi mkuu wa nchi, fisadi??? (kwa maneno yako ulijihuzuru kulinda CCM na serikali sio wananchi ndo maana hujaweza kusema ukweli wa mambo hado leo unalalamika tu, kama ulionewa sio sema ukweli once and for all) wananchi wa tz sio wajinga pesa wala, pilai kama Nape ala lakni kura kuchagua rais, hatuwezi mpa mtu kama EL.
Umekaa bungeni kimya miaka 8, huna hata haya. Ina maana hujaona suali ambalo serikali au mbunge mwenzako kalikosea?? bubu awe rais? au mbinafsi awe rais???
Nawasilisha