Wananchi kuwakataa Zitto Kabwe na Edward Lowassa

Wananchi kuwakataa Zitto Kabwe na Edward Lowassa

Status
Not open for further replies.
Ujingaaa ni kushindwa kuona hoja, iliyothibitika bungeni na rais kuiridhia, je bado una swali?

You dog tape worms, i was away...!! wtf .!!? i will screw you up, an agent of arrogance..come up..clean i am here...

Ww paka shume...can u even a bit talk negatives about EL...nyokooo...come clean am here..!!!👌👌
 
He was with ur mama...go ask her...!!! Rubbish...!!!

Poorest of all...!!!

Kwa mipango ya chini chini, kununua magazeti, kununua watu JF forum na hata mamodereta wetu kufuta nyuzi zenye mashiko au kuchanganya nyuzi kwa lengo la kuwapoteza wananchi, hakika EL atakataliwa na wananchi iwapo atagombea ama kupitia CCM, ACT au TLP.

EL atakataliwa kama ambavyo Mrema, ZZK wanakataliwa na wananchi, watu hawa wanaharufu kali ya usaliti kwa umma.

Ukituhumiwa mambo ya UFISADI huwezi tena uje kuwa amri jeshi mkuu wa nchi, fisadi??? (kwa maneno yako ulijihuzuru kulinda CCM na serikali sio wananchi ndo maana hujaweza kusema ukweli wa mambo hado leo unalalamika tu, kama ulionewa sio sema ukweli once and for all) wananchi wa tz sio wajinga pesa wala, pilai kama Nape ala lakni kura kuchagua rais, hatuwezi mpa mtu kama EL.

Umekaa bungeni kimya miaka 8, huna hata haya. Ina maana hujaona suali ambalo serikali au mbunge mwenzako kalikosea?? bubu awe rais? au mbinafsi awe rais???

Nawasilisha
 
Fikiri kwanza tatizo lako la ushoga hujalimaliza.nenda kaombewe uache kupopolewa ndiyo uje na mishoga wenzako mlete hoja za maana.Lowasa ndiyo rais ajae taka usitake.sisi team Lowasa now tunasherekea ushindi.
 
Ushahidi chukua kwa spika wa bunge na JK, mimi naamini Bunge na Rais kama taasisi za umma. UTAOLEWA WEWE na hela za EL

Naked head....hollow minded...!!! Ur such a crook who needs dick to cool down ur irritating rectum..!!! Imagine...u speak all rubbish...like ur...!!!
 
Kwa mipango ya chini chini, kununua magazeti, kununua watu JF forum na hata mamodereta wetu kufuta nyuzi zenye mashiko au kuchanganya nyuzi kwa lengo la kuwapoteza wananchi, hakika EL atakataliwa na wananchi iwapo atagombea ama kupitia CCM, ACT au TLP.

EL atakataliwa kama ambavyo Mrema, ZZK wanakataliwa na wananchi, watu hawa wanaharufu kali ya usaliti kwa umma.

Ukituhumiwa mambo ya UFISADI huwezi tena uje kuwa amri jeshi mkuu wa nchi, fisadi??? (kwa maneno yako ulijihuzuru kulinda CCM na serikali sio wananchi ndo maana hujaweza kusema ukweli wa mambo hado leo unalalamika tu, kama ulionewa sio sema ukweli once and for all) wananchi wa tz sio wajinga pesa wala, pilai kama Nape ala lakni kura kuchagua rais, hatuwezi mpa mtu kama EL.

Umekaa bungeni kimya miaka 8, huna hata haya. Ina maana hujaona suali ambalo serikali au mbunge mwenzako kalikosea?? bubu awe rais? au mbinafsi awe rais???

Nawasilisha
MR PRESIDENT naunga mkono hoja...njoo huku utukane pia...!
 
Last edited by a moderator:
Naked head....hollow minded...!!! Ur such a crook who needs dick to cool down ur irritating rectum..!!! Imagine...u speak all rubbish...like ur...!!!

Urais EL lazima aukosea hata adhikiri mchana na usiku, Rais Mwizi???
 
Fikiri kwanza tatizo lako la ushoga hujalimaliza.nenda kaombewe uache kupopolewa ndiyo uje na mishoga wenzako mlete hoja za maana.Lowasa ndiyo rais ajae taka usitake.sisi team Lowasa now tunasherekea ushindi.

Ikulu EL hataingia, labda kama kuna ikulu monduli
 
You dog tape worms, i was away...!! wtf .!!? i will screw you up, an agent of arrogance..come up..clean i am here...

Ww paka shume...can u even a bit talk negatives about EL...nyokooo...come clean am here..!!!

Mwizi mgonjwa na mwenye sanaa hawezi kuwa rais TZ, ajaribu chama cha waigiza acting in ACT Wazal
 
Hivi kweli unaweza kutaka kuwa rais hata swali moja bunge kwa miaka 8 hakuna??? hujui shida za watanzania harafu unataka uwe rais? Wa watanzania au wa chuo?
 
hii thread imesheni matusi ya nguoni lakini mods kimyaa au kutukana kiingereza ruksa??
 
Simpendi EL hata bule lkn naona hoja ya kishamba na ninauliza je kama bungeni ndo mahali pa kuonesha uwezo wa kuwa Rais je mbona Silaa huyuko bungeni na ndo ananogeshwa humu? au hoja za watumwa wa watu.
 
Alipokuwa bungeni uwakilishi wake hadi leo unatikisa nchi, dr slaa jembe acha kulinganisha mtaja mafisadi na mafisadi, utakaaje bungeni miaka 8 bila hata neno moja, shame on you all silly supporters
 
Nilikuwa na matumani makubwa 2015 watz tunakuwa na maisha mazur, kweli zzk umetusaliti wanyonge coz maisha ni magumu sn kwa ss wafanyakazi, zitto zitto nilipenda siasa kwa ajili yako,mbona umetufanyia hivyo
 
Wewe mleta uzi kilaza sana sasa hapo kwenye heading yako ZZK wa nini? Hivi bavicha bila kumtaja ZZK mnajua Dj hatoi posho mpaka muandike jina lake, haya kachukue posho yako kwa kumchekesha mfalme
Bavicha bila kumtaja Zitto Mimba Zitatoka,wameshakimbia majukwaa yote maana kila wakifungu Simu zao wanakutana na ACT-Wazalendo,wakiwasha tivi wanamkyta Zitto Radio ndio usiseme,walibaki wanategemea JF nako wamezidiwa hoja,sasa mpaka wanatia huruma kwa jinsi walivyokuwa wanyonye.
wahurumueni wasije ugua presha.
Zitto si mjamaa wala mzalendo. Ni msaliti tu!
 
Upepo wa mabadiliko utawakumba wote wanaoendeleza siasa za kale, siasa zisizo na hoja, siasa za matusi, uongo na kashfa.Watanzania wamezichoka siasa hizi.

Watanzania wanataka siasa za masuala yao ya maendeleo, siasa za kushindanisha nin kizuri zaidi kifanyike kwa manufaa ya watu.Ndio maana unashuhudia sasa Watanzania wakiendelea kwa kasi sana kuipokea ACT.

ACT WAZALENDO, TAIFA KWANZA, TURUDI KWENYE MISINGI

Hivi nyie mnaufahamu ujamaa? Mnaweza kuishi kwenye vijiji vya ujamaa?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom