kyamtagata
Member
- Dec 21, 2013
- 56
- 26
Mleta mada ni walele akina Hoza wa Morogoro. Wanakiogopa kimbunga/mafuriko ya EL.
siasa mchezo mchafu...EL SAWA ila zitto jembe
Yule sio mbunge wa upinzani kwamba aipekekeshe serekali wapo Kina Lissu,Mnyika na Mungu ajalie tuwaongezee Nguvu ya wengine bunge lijalo
Hata mawaziri wengine waliostaafu utawaona wanakaa Nyuma kabisa kimya. Yeye anaijua serekali yote na kuuljza swali ni kama kutaka kuwaumbua hivyo kwa Busara tu utawaona wengi wako kimya
Kuna kila dalili kwamba hela za uma zinatumika na ACT inatumiwa kuleta vurugu kwenye siasa kwa kumtumia Zitto Zuberi Kabwe. Hivi hakuna kifungu cha sheria ambacho kinamruhusu Raia kumfungulia mashitaka ya wizi /rushwa ?Kwa mipango ya chini chini, kununua magazeti, kununua watu JF forum na hata mamodereta wetu kufuta nyuzi zenye mashiko au kuchanganya nyuzi kwa lengo la kuwapoteza wananchi, hakika EL atakataliwa na wananchi iwapo atagombea ama kupitia CCM, ACT au TLP.
EL atakataliwa kama ambavyo Mrema, ZZK wanakataliwa na wananchi, watu hawa wanaharufu kali ya usaliti kwa umma.
Ukituhumiwa mambo ya UFISADI huwezi tena uje kuwa amri jeshi mkuu wa nchi, fisadi??? (kwa maneno yako ulijihuzuru kulinda CCM na serikali sio wananchi ndo maana hujaweza kusema ukweli wa mambo hado leo unalalamika tu, kama ulionewa sio sema ukweli once and for all) wananchi wa tz sio wajinga pesa wala, pilai kama Nape ala lakni kura kuchagua rais, hatuwezi mpa mtu kama EL.
Umekaa bungeni kimya miaka 8, huna hata haya. Ina maana hujaona suali ambalo serikali au mbunge mwenzako kalikosea?? bubu awe rais? au mbinafsi awe rais???
Nawasilisha
hii mada ina connection gani na zitto au ndo style ya kutafuta wachangiaji wengi.
Lowassa hawezi kuingia ACT-WAZALENDO sababu sio muadilifu na mzalendo.
Ww wasema na watakuwa mavi kunuka.... Watanzania Wanaomtaka EL Awe Rais Hawana Akili Na Ni Wapumbavu