Mtimti
JF-Expert Member
- Feb 23, 2008
- 942
- 644
Unajipa moyo kuwa naangalia CNN?..nna miaka kumi hapa London na nimepiga kura, sasa wewe endelea kujiongopea na Google yako.Hakuna unachokijua zaidi ya kuangalia cnn lkn nakwambia Uingereza haitajitoa EU na sababu kubwa ndiyo hiyo niliyoitaja maelite wanafaidika na uwepo wa nchi hiyo EU na wao ndiyo huamua na siyo wananchi subiri uone, siyo mara ya kwanza nchi ya Ulaya kupiga kura ya maoni na matokeo kupinduliwa na maelite kitakachotokea ni kama Uholanzi hiyo kura itarudiwa mpaka namba wanayotaka maelite ipatikane lilifanyika Ugiriki, Uholanzi na kwingineko!