Wananchi kutengua uamuzi wa kidemokrasia Uingereza!

Barbarosa

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Messages
18,214
Likes
17,500
Points
280
Barbarosa

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2015
18,214 17,500 280
Baada ya wananchi wa nchi ya Uingereza huko bara Ulaya kutumia haki yao ya kikatiba na kupiga kura ya kutokuwa na imani na nchi yao kuendelea kubakia kuwa mwanachama wa Umoja wa Ulaya sasa wakubwa wa nchi hawataki kutii uamuzi huo na wanataka kuupindua na ukweli ni kwamba Uingereza haitatoka EU pmj na kwamba wananchi walio wengi wanataka iwe hivyo ...

Hili lingefanyika Afrika sasa hivi ma house niga wa kiafrika wangetoka povu kulipinga na kuita udikteta lkn kwa sababu ni Mzungu basi mahouse niga watakuja na sababu za kutetea na kuhalalisha ubakaji huu wa demokrasia unaofanyika huko Uingereza!
 
white wizard

white wizard

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2011
Messages
3,146
Likes
1,751
Points
280
white wizard

white wizard

JF-Expert Member
Joined May 18, 2011
3,146 1,751 280
Na hawatoki kweli,kwani hata ukiangalia sehemu nyingi waliopiga kura ya kujitoa ni vitongoji duni wakidhani kuwa kubaki pekee yao kutawapa unafuu wa maisha kumbe ndio tabu zaidi,,mfano Scotland nao wanataka waitishe kura ya maoni tena juu ya kubaki kwao Uk,kwani wao waliaminishwa kuwa umoja ni nguvu wakati walipotaka kujitenga na UK!leo wao wanataka kubakia EU,na hii UK wasipokuwa makini yale maneno ya mwalimu nyerere yatatimia,hawatabaki salama kamwe,na sasa hivi tu wameshaanza kubaguana hususani wageni.kwenye democracy kuna maamuzi mengine ni ya kimuzuka zaidi harafu badaye mnakuja juta,hivyo pamoja na democracy ni lazima na mambo mengine yaangaliwe pia,choka mbaya wengi ndio walipiga kura ya LEAVE,
 
jogi

jogi

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2010
Messages
20,776
Likes
14,983
Points
280
jogi

jogi

JF-Expert Member
Joined Sep 25, 2010
20,776 14,983 280
Mnaomba hivyo lakini ndio wameshatoka hao
 
Barbarosa

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Messages
18,214
Likes
17,500
Points
280
Barbarosa

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2015
18,214 17,500 280
Na hawatoki kweli,kwani hata ukiangalia sehemu nyingi waliopiga kura ya kujitoa ni vitongoji duni wakidhani kuwa kubaki pekee yao kutawapa unafuu wa maisha kumbe ndio tabu zaidi,,mfano Scotland nao wanataka waitishe kura ya maoni tena juu ya kubaki kwao Uk,kwani wao waliaminishwa kuwa umoja ni nguvu wakati walipotaka kujitenga na UK!leo wao wanataka kubakia EU,na hii UK wasipokuwa makini yale maneno ya mwalimu nyerere yatatimia,hawatabaki salama kamwe,na sasa hivi tu wameshaanza kubaguana hususani wageni.kwenye democracy kuna maamuzi mengine ni ya kimuzuka zaidi harafu badaye mnakuja juta,hivyo pamoja na democracy ni lazima na mambo mengine yaangaliwe pia,choka mbaya wengi ndio walipiga kura ya LEAVE,

Tatizo ni kwamba hili lingefanyika Afrika la kupindua maamuzi ya wengi ungewaona akina Baregu, Kitila, Zito & Co. ambavyo wangetoka povu na kuanza kuwanukuu akina Obama kwamba Obama alisema hivi mara vile lkn hapa kwa kuwa ubakwaji huu wa kidemokrasia anaufanya Mzungu basi mahouse nigas watatafuta sababu ya kuhalalisha ...
 
Mwana Mtoka Pabaya

Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Messages
13,138
Likes
9,855
Points
280
Mwana Mtoka Pabaya

Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2012
13,138 9,855 280
Tatizo ni kwamba hili lingefanyika Afrika la kupindua maamuzi ya wengi ungewaona akina Baregu, Kitila, Zito & Co. ambavyo wangetoka povu na kuanza kuwanukuu akina Obama kwamba Obama alisema hivi mara vile lkn hapa kwa kuwa ubakwaji huu wa kidemokrasia anaufanya Mzungu basi mahouse nigas watatafuta sababu ya kuhalalisha ...
Wewe ndio unataka kuhalalisha minority orders kwa kutuonesha nini waingereza wanataka kufanya.

At least wenzetu wasomi wao wana elimu, haya yanayofanyika hapa wala usiyafananishe. Na ukitaka sababu nitakwambia, ila kwa sasa unaongea pumba kama kawaida yako.
 
nankumene

nankumene

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2015
Messages
5,557
Likes
5,056
Points
280
nankumene

nankumene

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2015
5,557 5,056 280
hizi habari za demokrasia ukiziendekeza watu wanaweza pia kura kuwa mashoga
 
fdizzle

fdizzle

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Messages
1,099
Likes
781
Points
280
fdizzle

fdizzle

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2015
1,099 781 280
Demokrasia za kujiondoa ktk muungano hazikubaliki ni udikteta tu kwa kwenda mbele.
Umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu
Anaetaka kujitoa akaanzishe nchi yake
 
L

LELUU

Member
Joined
Jun 8, 2016
Messages
30
Likes
12
Points
15
Age
40
L

LELUU

Member
Joined Jun 8, 2016
30 12 15
Siolazima wao wanapokosea na sisi tukosee. Hata kama watafanikiwa kupindua maamuzi ya umma, isiwe kisingizio kwa Afrika kubariki ukiukwaji wa demokrasia.
 
TUJITEGEMEE

TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Messages
13,195
Likes
4,973
Points
280
TUJITEGEMEE

TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2010
13,195 4,973 280
Hiki ni kipimo cha demokrasia yao watuhubiriayo kila siku. kwamba matakwa ya wananchi yasikilizwe.
 
M

mtoto wa mjini

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2010
Messages
1,756
Likes
806
Points
280
M

mtoto wa mjini

JF-Expert Member
Joined Jan 18, 2010
1,756 806 280
Baada ya wananchi wa nchi ya Uingereza huko bara Ulaya kutumia haki yao ya kikatiba na kupiga kura ya kutokuwa na imani na nchi yao kuendelea kubakia kuwa mwanachama wa Umoja wa Ulaya sasa wakubwa wa nchi hawataki kutii uamuzi huo na wanataka kuupindua na ukweli ni kwamba Uingereza haitatoka EU pmj na kwamba wananchi walio wengi wanataka iwe hivyo ...

Hili lingefanyika Afrika sasa hivi ma house niga wa kiafrika wangetoka povu kulipinga na kuita udikteta lkn kwa sababu ni Mzungu basi mahouse niga watakuja na sababu za kutetea na kuhalalisha ubakaji huu wa demokrasia unaofanyika huko Uingereza!
Source?
 
Chapa Nalo Jr

Chapa Nalo Jr

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2010
Messages
6,641
Likes
3,598
Points
280
Chapa Nalo Jr

Chapa Nalo Jr

JF-Expert Member
Joined Dec 8, 2010
6,641 3,598 280
Demokrasia za kujiondoa ktk muungano hazikubaliki ni udikteta tu kwa kwenda mbele.
Umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu
Anaetaka kujitoa akaanzishe nchi yake
Umoja kati ya maskini na tajiri ni shida tupu. Kuna vi nchi kwenye EU ni kupe tu.
 
wakikosi

wakikosi

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2015
Messages
1,083
Likes
825
Points
280
wakikosi

wakikosi

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2015
1,083 825 280
Hata wewe hakuna unachoelewa,tusubiri
 
Mtimti

Mtimti

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2008
Messages
927
Likes
211
Points
60
Mtimti

Mtimti

JF-Expert Member
Joined Feb 23, 2008
927 211 60
Hakuna unachokielewa, subiri sasa uone kama Uingereza itaondoka EU!
Acha uongo ndg. ....waingereza washatoka na juzi tu Cameron kasema bungeni kuwa hakuna kura nyingine za maoni. ....sasa wewe mwenzetu sijui umezipata wapi habari hizi wkt mimi mkazi sijazisikia.
 
GreenCity

GreenCity

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2012
Messages
5,152
Likes
2,676
Points
280
GreenCity

GreenCity

JF-Expert Member
Joined May 28, 2012
5,152 2,676 280
Baada ya wananchi wa nchi ya Uingereza huko bara Ulaya kutumia haki yao ya kikatiba na kupiga kura ya kutokuwa na imani na nchi yao kuendelea kubakia kuwa mwanachama wa Umoja wa Ulaya sasa wakubwa wa nchi hawataki kutii uamuzi huo na wanataka kuupindua na ukweli ni kwamba Uingereza haitatoka EU pmj na kwamba wananchi walio wengi wanataka iwe hivyo ...

Hili lingefanyika Afrika sasa hivi ma house niga wa kiafrika wangetoka povu kulipinga na kuita udikteta lkn kwa sababu ni Mzungu basi mahouse niga watakuja na sababu za kutetea na kuhalalisha ubakaji huu wa demokrasia unaofanyika huko Uingereza!
You look younger but already qualifies to be a Corrupt African Politician!
 
Jane Lowassa

Jane Lowassa

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2016
Messages
1,447
Likes
1,645
Points
280
Jane Lowassa

Jane Lowassa

JF-Expert Member
Joined May 10, 2016
1,447 1,645 280
Hakuna unachokielewa, subiri sasa uone kama Uingereza itaondoka EU!
Mkuu Uingereza imeshapiga kura ya kujitoa. Na hawarudi nyuma. Sasa kama kuna watu huko kwao wanaoonesha kutokuridhika, hilo ni jambo la kawaida tu mbona. Hata kwenye chaguzi zetu matokeo kuna watu huwa wanayapinga mwanzoni lakini baadaye wanaendelea na maisha. Hicho ndicho kinachotokea Uingereza.
 
Barbarosa

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Messages
18,214
Likes
17,500
Points
280
Barbarosa

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2015
18,214 17,500 280
Acha uongo ndg. ....waingereza washatoka na juzi tu Cameron kasema bungeni kuwa hakuna kura nyingine za maoni. ....sasa wewe mwenzetu sijui umezipata wapi habari hizi wkt mimi mkazi sijazisikia.

Subiri uone chezo linavyokwenda uliona maandamano ya jana? Kwanza huyo pro Brexit mwenyewe Boris ameshajitoa halafu unafahamu kwa nini Kiongozi wa Uingereza amekataa kuharakisha taratibu za kujiengua EU kama EU walivyomtaka afanye na kama wananchi wakivyoahidiwa?
 
Forum statistics

Threads 1,235,602
Members 474,678
Posts 29,228,299